Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

IMG_5868.JPG



Ule mshono ndio huu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

, mshono huo jamani nawapa bure [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mana kitambaa kizito duvet kile unakijaza chini vile no wonder haikukaa mabegani!!
Mana chini kuzito!!
Mabega haikufit!!
Basi ikawa tu tafran
Mara huku sendo za Shabani
Mara huku zile green house.
Hujakaa vizur pinki pinki ile imechambuliwa chambuliwa ya yule Nani sijui
Mara kule miguu ya Mama Teri.
Kule vipepeo vya wanakamati
Mara kapita mama dogo na wowowo mstatili lake ,nakwambia kilikuwa na matukiooooooooooo.
Mama dogo na wowowo mstatili hahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heee kumbe pole yake ndio maana sijaona umbea tangu majuzi mweh yule demu nilimuona mjinga kuacha kibarua dubai kurudi bongo njaa kali
Hajaacha kibarua kwa kutaka bali kafukuzwa Dubai
Inasemekana alipata danga club ambalo ni mjeshi baada ya kumalizana nae jamaa alikataa kumpa chake
Ndio kuanza kugombana na kukamatwa kuwekwa ndani wote wakaambiwa kila mtu atoe pesa au ndani miezi miwili au wiki mbili,jamaa alitoa nasikia pesa ni ndefu
Milly alikaa mpk akamaliza kifungo na kufungishwa virago arudi kwao
C unajua nchi za wenzetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja ya sababu ambazo zinaweza sababisha mtu asiruhusiwe kunyonyesha watoto..ni pamoja na maradhi ya oma ya ini na ndugu yake mkubwa...

Lakini pia anaweza kutonyonyesha kutokana na maziwa kuto toka kabisa

Pia mtu anaweza kutonyenyesha baada ya kuamua tuu ili kulinda mwili wake hasa maziwa kishuka na mabadiliko mengine yanakuja baada ya mtu kuanza kunyonyesha....
homa
 
Back
Top Bottom