Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
Na ndio akili yako inapoishia hapo!! Kwahiyo ulitakaje yani, tuanze kukusupport kuwa Zarinah mtu mbaya Alafu mlimbwende wenu ndo mtu poa????Wewe mpuuzi hebu kaa mbali na mimi,nakuona tu unavyonichokonoa nimekaa kimya sasa unataka kunipanda kichwani.
Mimi nimeleta habari kama ilivyo Instagram,wewe hayo yako ya mtaani unayoyajua si ulete uzi wako?
Nani alokukataza?
Na sijaanzisha uzi coz sijaona umuhimu wa kufanya hivyo ila wewe uliyeona umuhimu wa kuanzisha uzi na kuanza kukandia watu bila kuelewa what's real going on, inabidi tukurekebishe..
Alafu relax, humu ni mtandao wa kijamii tu sio bungeni! Usipaniki sana utakuja kujipa presha tu.!! Matusi ya nini..!! #don'tBother