Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hata lulu sio level yake yule mtoto ni mdogo ila ana akili kama mchwa, kwa umri ule ana nyumba, amemjengea na mama ake ana usafiri na biashara zake wema wenzie kina auntyZari kamshinda wema kwa kila kitu
Uzuri
Mali
Watoto
Exposure
Nidhamu
Wife materials
Hiyo chepeo akapambane na akina diva na akina lulu