Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Zari kamshinda wema kwa kila kitu
Uzuri
Mali
Watoto
Exposure
Nidhamu
Wife materials
Hiyo chepeo akapambane na akina diva na akina lulu
Hata lulu sio level yake yule mtoto ni mdogo ila ana akili kama mchwa, kwa umri ule ana nyumba, amemjengea na mama ake ana usafiri na biashara zake wema wenzie kina aunty
 
Huyu wema ni kiboko aisee Ana wafuasi lukuki Kama chief kibwetele enzi za ukoloni......karibu 90% ya wasichana bongo ni wafuasi wake nilikua na girlfriend wangu muda wote Mara wema kafanya hiki, Mara kile na ukitaka mgombane mdiss wema, that's shit


Hilo nalo jipu unatakiwa kulitumbua mimi nikiwa na mwanamke hajali career yake kutwa kuongea mambo sijui flani kafanya hivi sijui flani mtu wake ana hela sijui wema au jokate wapo hivi nina principle yangu kubwa nayo ni kuanza kumpuuza mpaka anajua hapa sina changu anaanza kuondoka mwenyewe nyambafuuuuu
 
Hata lulu sio level yake yule mtoto ni mdogo ila ana akili kama mchwa, kwa umri ule ana nyumba, amemjengea na mama ake ana usafiri na biashara zake wema wenzie kina aunty
Hahahahaa shoga umenikumbusha nasikia aunt ni 'majalala' mbaya!
 
Kinachoniboa kwa wema na kumuona mjinga ni kutafuta umaarufu ambao hauna faida angetumia vizur jina lake angepiga hela sana! Mwenzake yuko focused anajua biashara aliandaa all white party akapata mtonyo! Watanzania wengi bado hatuna maujanja ! Keel up zari
 
All in all wema she is the best compare to bibi zari
 
Uzuri ni asset kwa mtoto wa kike mwisho wa wema lazima i
Utakuwa mbaya tu km akina norah na sinta! Wanawake maceleb wanaojitambua
1.klynn
2.zari
3.Nancy
4.daraja
Huyo wema kila siku kumpa faida shigongo! Kipindi yuko na d angemshawishi watengeneze muvi wangeuza kweli!
 
Sorry sio daraja ni faraja kota
 
Hizo akili azitoe wapi? Hana akili yule alishindwa kumtumia diamond akawa anapanda stejini ka kina iyobo nae anakata kiuno kama dancer hadi mbunye inabaki nje......
Look at zari wanaenda wote kwenye show ila ye anabaki hotelini that's a woman
 
Sasa wema mbona kashindwa ye kuomba kwa ma x ili alipe hata umeme

Akili anayo ndio mana kaanzisha biashara yake yake ya lipsticks(superwoman) na sio kutegemea X wake kumlisha na mashauzi juu km boss wenu Zari. Mnataka Wema afanye mashauzi ya pesa za kupewa km mwanzo kisha aje aadhiriwe na kunyang'anywa vitu km mwanzo.

Zari wenu amedhalilishwa na Ivan anapewa pesa na bado hakomi na ontop anajifanya anampenda Diamond.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…