Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Sasa kama wewe ndo umesema mie nifanyeje? Labda we ni kinglawrence sitaki kukubishiaKaamua kuishi kivyake sio msingi kiujiuno, na hapa umejijibu kuwa boss wenu Zari anategemea Xs zake
Wasimseme mtoto wake vibaya yy kama mama anaumia." Tiffa can't talk or understand anyting sio sawa kumsema. Wanatakiwa wadeal na mama yke bt not Princes T.Kwahiyo as a mother ndio kuchambana instagram na kurushiana vijembe?
Kweli wamama wadigital wana mambo.
Katika biashara ile nayo biashara ukilinganisha na jina lake?fremu za kichochoroni zile ambayo hata Malaya wa kimboka anafungua.Tatizo team yake inampa sifa asizokuwa nazo mwishowe madeni tanesco....Mara range yakukodiAkili anayo ndio mana kaanzisha biashara yake yake ya lipsticks(superwoman) na sio kutegemea X wake kumlisha na mashauzi juu km boss wenu Zari. Mnataka Wema afanye mashauzi ya pesa za kupewa km mwanzo kisha aje aadhiriwe na kunyang'anywa vitu km mwanzo.
Zari wenu amedhalilishwa na Ivan anapewa pesa na bado hakomi na ontop anajifanya anampenda Diamond.
Hizo lipstick kauza jina kama kidoti alivouza jina kwa mchina lipstick za kiss ni mali ya Mr problem solvedAkili anayo ndio mana kaanzisha biashara yake yake ya lipsticks(superwoman) na sio kutegemea X wake kumlisha na mashauzi juu km boss wenu Zari. Mnataka Wema afanye mashauzi ya pesa za kupewa km mwanzo kisha aje aadhiriwe na kunyang'anywa vitu km mwanzo.
Zari wenu amedhalilishwa na Ivan anapewa pesa na bado hakomi na ontop anajifanya anampenda Diamond.
Zari nae ana moyo bana Heeee mbona me mama ila hadi sa hizo niko jf napiga umbea ha ha ha ha haKwahiyo as a mother ndio kuchambana instagram na kurushiana vijembe?
Kweli wamama wadigital wana mambo.
Wanampa sifa za kijinga....huyo problem sorver anajuta coz alivyotarajia sivyo.Sidhani kama return ya biashara imemnufaisha.Team zake wanamuharibu,I do like her ila hana washauri wazuri o hashauriki.Hizo lipstick kauza jina kama kidoti alivouza jina kwa mchina lipstick za kiss ni mali ya Mr problem solved
Ni nani asiyesemwa vibaya?Yule Zari na huyo mwanae ni maceleb tayari,mambo kama hayo ni kawaida sana.Wasimseme mtoto wake vibaya yy kama mama anaumia." Tiffa can't talk or understand anyting sio sawa kumsema. Wanatakiwa wadeal na mama yke bt not Princes T.
umeona eeeh? zari ni habare nyingine yuleWema asijifananishe na Zari.
Basi sababu labda ni Uzuri wa Wema na utajiri wake teh tehNi nani asiyesemwa vibaya?Yule Zari na huyo mwanae ni maceleb tayari,mambo kama hayo ni kawaida sana.
Anasemwa Beyonce na mwanae Blue Ivy ije kuwa yeye bwana?
Bado sijaona sababu nzito ya kumtoa povu Zari.
Ha ha ha tatizo hamuwezi Zari....anachokifanya nikuangalia kitu gani kitamuumiza that's y anavamia ishu ya Tiffa.Yupo desperateWasimseme mtoto wake vibaya yy kama mama anaumia." Tiffa can't talk or understand anyting sio sawa kumsema. Wanatakiwa wadeal na mama yke bt not Princes T.
Kwi Kwi Kwi miss Tanzania ana duka la lipstickKatika biashara ile nayo biashara ukilinganisha na jina lake?fremu za kichochoroni zile ambayo hata Malaya wa kimboka anafungua.Tatizo team yake inampa sifa asizokuwa nazo mwishowe madeni tanesco....Mara range yakukodi
Mtimbwa wanachezeaHawa wanaogombana ni wachezaji wa team gani??
Tanesco wamelipa?Hizo lipstick kauza jina kama kidoti alivouza jina kwa mchina lipstick za kiss ni mali ya Mr problem solved
Awadanganye hao hao team wakehivi hawa mbwa kila siku hawakomi tu kadanganywa na huyu MISS FEKERO? mmh hata kama ni ushabiki wao umepitiliza
Nyie mnao mwita Wema mtoto ndio mnazidi kumuharibu aendelee kuwa mpuuzi, ana utoto gani kama alikiri mwenyewe katoa mimba ya marehemu kanumba? Kazidi miaka 25 anaelekea 30 bado mtot, ndio maana alitoa mimba ili asizae kwa kuwa nae ni mtoto? Aelezwe ukweli tu nae ajiongeze maisha ya fake, fake, fake hayatamsaidia anashindwa hata na LULU? Lulu mwenyewe ana fight na hataki kuitwa mtoto, huyu mama ubaya eti mtoto, mtoto, anapakata baba zake kwa foleni na anawatoa jaso bado mtoto, sifa mbovu hizi.Wema nae toto jinga
Kalipa wapi wala hajalipa MSAGA SUMU alisema wema ndo alisababisha mgao wa umeme lolTanesco wamelipa?
Habare nyingine....coz amenufaika na penzi la diamond.Alitengeneza pesa katika ile white party coz of Diamond.Huyo Wema anatifuliwa tuumeona eeeh? zari ni habare nyingine yule
Kalipa wapi wala hajalipa MSAGA SUMU alisema wema ndo alisababisha mgao wa umeme lol
Ha ha ha na body splash.....hii ni hatari.Una range halafu unamiliki duka la lipstick,alijua atauza elfu 40 kashusha mwenyewe.Kwi Kwi Kwi miss Tanzania ana duka la lipstick