Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Kweli mama ubaya akili yake iko kwa Dimond, alikuwa anaondoka kusaka hela tu kwa kina clement akizipata anarudi kwa dimond, aliweka bifu mbaya sana na Jokate kwa kuwa jokate alikuwa na diamond, baada ya penzi la dai na jokate kuisha akamfanya jokate rafiki kipenzi wakavaa na sare wakaongozana Arusha kuja kutombwa na wafanya biashara ya tanzanite wakijidai eti promo kwa msanii wa wema, zari akiachana na diamond wema atamtafuta wawe mashoga, diamond kuna kipele kamkuna wema hakuna mwanaume alie kigusa.
 
Ona hapo anavyoruka ruka na kutikisa kichwa.

Hahahahaaaa.....and I'm not even making this up.

Ni yeye mwenyewe ndo anayafanya yote haya.

 
Hiyo team yake nilijua hawana shughuli....walivyoenda kumpokea baada yakushindwa ubunge.Eti na ngoma kabisaaa

nliona picha zao yani wamejichokea n sura zao za vigodoro....ukitaka kujua tabia y mtu muangalie rafiki au marafiki zake wakoje
 
Kwa hiyo wema akivua nguo kumtusi zari, zari nae avue? Kama zari ni mstaarabu sana angejibu kistaarabu au angekaa kimya, hata ukimya ni jibu, ajitafakari ana vijana apunguze malumbano kwenye mitandao first born wake kesho tu nae anatinga instagram, wema atamtumia ile video ya mama ake akijitia na dildo, hapo nani ata aibika? ukiwa na watoto umia kwa kuweka salama yao na kutunza heshima yako.
 
Natamani siku moja thread kama hizi zikose wachangiaji, japokuwa kwa kufanya hivi tu nimechangia pia
 
Ngoja nipumzike....niwahi kuwajibika nimuungishe hvyo vilipstick vyake.Nikitoka nyuma ya TRA kula mambo yangu kwa Chuwa
 
Fanya ushabiki wote my dear ila kizazi usikifanyie dhihaka.... Mungu huyu anaweza kukupa kizazi na pigo juu....
Naogopaga sana wanaotukana vizazi...heri kutukanana kuhusu michirizi

Ila mmempima kuthibitisha ugumba???
Umenena mkuu, usitukane kilema cha mtu hata siku moja, na ugumba au utasa ni pigo sana kwa maisha ya kila mtu, hapa tunapita wengi matasa, wagumba si vizuri kutiana simanzi. Ajabu kuna wengine wanasema hili wakati bado hawaj beba hata mimba ikatoka, kazi ya Mungu tumuachie Mungu turekebishane TABIA si maumbile,.
 
Word.....hata mie swala la ugumba huwa silipendi ingawa hawa madada wanatusiana mambo ambayo kila mmoja kwa nafasi yake anadhani litamuumiza mwenzie.Kama wema hilo swala la kutopata mtoto linamuumiza.
 


Kisichana Wema? Lulu na tunda wa young dee tutawaitaje ?
 
Word.....hata mie swala la ugumba huwa silipendi ingawa hawa madada wanatusiana mambo ambayo kila mmoja kwa nafasi yake anadhani litamuumiza mwenzie.Kama wema hilo swala la kutopata mtoto linamuumiza.
Swala ugumba liitangaza mwenyewe kuwa yy hana uwezo wa kuzaa watu tukwamwonea huruma kumbe ni kiki za mujini na kama anayo kweli.
 
Wabongo kwa nyodo!unaweza kukuta hata kiwanja cha 20 kwa 20 hauna lakini unaponda dogo mwenye Nyumba ambayo hujawah hata kuwa nayo ndotoni;hapo umepanga chumba kimoja unalala na ndoo,jiko,vyombo sehemu moja aka Store
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…