Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Wema anamtaka sana diamond, ndio maana kila siku anahangaika kutafuta wanaume FAKE hili amrushe roho diamond, kajaribu kwa yule mwanamitindo wa rwanda kashindwa,kajaribu kwa idris napo pamebuma, akili yote ipo kwa domo *****, uwiiiii mam ubaya acha kufake life
Kweli mama ubaya akili yake iko kwa Dimond, alikuwa anaondoka kusaka hela tu kwa kina clement akizipata anarudi kwa dimond, aliweka bifu mbaya sana na Jokate kwa kuwa jokate alikuwa na diamond, baada ya penzi la dai na jokate kuisha akamfanya jokate rafiki kipenzi wakavaa na sare wakaongozana Arusha kuja kutombwa na wafanya biashara ya tanzanite wakijidai eti promo kwa msanii wa wema, zari akiachana na diamond wema atamtafuta wawe mashoga, diamond kuna kipele kamkuna wema hakuna mwanaume alie kigusa.
 
Ona hapo anavyoruka ruka na kutikisa kichwa.

Hahahahaaaa.....and I'm not even making this up.

Ni yeye mwenyewe ndo anayafanya yote haya.

 
Na mkurupukaji namba moja ni wewe!!! Hujui nini halisia kinachoendelea mtaani unashupalia tu post za instagram.!! Uliza mtaani huku nn kina happen ndio utajua kwann Zarinah anareact namna hiyo!!! Huyo mlimbwende unayemsifia humu ni bogus kabisa, she doesn't know how to let go..
Kwa hiyo wema akivua nguo kumtusi zari, zari nae avue? Kama zari ni mstaarabu sana angejibu kistaarabu au angekaa kimya, hata ukimya ni jibu, ajitafakari ana vijana apunguze malumbano kwenye mitandao first born wake kesho tu nae anatinga instagram, wema atamtumia ile video ya mama ake akijitia na dildo, hapo nani ata aibika? ukiwa na watoto umia kwa kuweka salama yao na kutunza heshima yako.
 
Natamani siku moja thread kama hizi zikose wachangiaji, japokuwa kwa kufanya hivi tu nimechangia pia
 
Ngoja nipumzike....niwahi kuwajibika nimuungishe hvyo vilipstick vyake.Nikitoka nyuma ya TRA kula mambo yangu kwa Chuwa
 
Fanya ushabiki wote my dear ila kizazi usikifanyie dhihaka.... Mungu huyu anaweza kukupa kizazi na pigo juu....
Naogopaga sana wanaotukana vizazi...heri kutukanana kuhusu michirizi

Ila mmempima kuthibitisha ugumba???
Umenena mkuu, usitukane kilema cha mtu hata siku moja, na ugumba au utasa ni pigo sana kwa maisha ya kila mtu, hapa tunapita wengi matasa, wagumba si vizuri kutiana simanzi. Ajabu kuna wengine wanasema hili wakati bado hawaj beba hata mimba ikatoka, kazi ya Mungu tumuachie Mungu turekebishane TABIA si maumbile,.
 
Umenena mkuu, usitukane kilema cha mtu hata siku moja, na ugumba au utasa ni pigo sana kwa maisha ya kila mtu, hapa tunapita wengi matasa, wagumba si vizuri kutiana simanzi. Ajabu kuna wengine wanasema hili wakati bado hawaj beba hata mimba ikatoka, kazi ya Mungu tumuachie Mungu turekebishane TABIA si maumbile,.
Word.....hata mie swala la ugumba huwa silipendi ingawa hawa madada wanatusiana mambo ambayo kila mmoja kwa nafasi yake anadhani litamuumiza mwenzie.Kama wema hilo swala la kutopata mtoto linamuumiza.
 
Zari nae mswahili sana

Sijui.anatafuta kiki mavi....yaani nilidhani wema anapenda kiki ila hajamfikia zari hata kidogo. Halafu mtu mzima hebu alee watoto. Mama wa watoto 4 unapata wapi muda wa kukimbizana na visichana insta?
Wazazi wa siku hizi mkoje?
Wanawake wa siku hizi kungwi wenu nani????


Kisichana Wema? Lulu na tunda wa young dee tutawaitaje ?
 
Word.....hata mie swala la ugumba huwa silipendi ingawa hawa madada wanatusiana mambo ambayo kila mmoja kwa nafasi yake anadhani litamuumiza mwenzie.Kama wema hilo swala la kutopata mtoto linamuumiza.
Swala ugumba liitangaza mwenyewe kuwa yy hana uwezo wa kuzaa watu tukwamwonea huruma kumbe ni kiki za mujini na kama anayo kweli.
 
Sasa unatokaje South Africa Johannesburg kwenye mansion unaenda kuishi nje ya dar porini kwenye kijumba kilichopo kwenye mkondo wa maji.. Huu kama si ukichaa ni nini?? Ameacha kuuza vipodozi na maunga sikuhizi anashinda kwenye mitandao kutukanana na wanawe
Wabongo kwa nyodo!unaweza kukuta hata kiwanja cha 20 kwa 20 hauna lakini unaponda dogo mwenye Nyumba ambayo hujawah hata kuwa nayo ndotoni;hapo umepanga chumba kimoja unalala na ndoo,jiko,vyombo sehemu moja aka Store
 
Back
Top Bottom