Hivi Wema Ana utoto gani?ndio mnamtia ujinga anakula maisha anajiona bado kuandaa future!ukitaka kujua akili za dada zetu wengi soma huu uzi!unaweza kumuona dada smart lakini ikija issue ya Wema ndio huwa wanaonyesha rangi yao halisi;kuna rafiki yangu aliwahi kuniambia msichana hata awe mzuri vipi akimsifia Wema yeye inam turn off anamuona kicheche tuHuyo wema nae aache kuweka fake account na kutumia team zake kumtukana na mwanae
inaonekana ushasutwa sanaaaaNapitwaje sasa?Hii ndio raha ya kuishi mujini (umbea).
Kijijini kulima tu
Hapo chacha bora hata angesema alipata matatizo et aliitoa kwa sababu alikua mdogo ha ha ha sijui udogo gani anaousemaukweli lazma usemwe huyu dada umaarufa ulishaisha yoka enzi za kanumba......istoshe kichwani hazimtoshi unasema hadharani umetoa mimba ili upate nini
Naona umri waje umeweka pause, from 2006 hadi leo ni 10 years ila umri wake bado upo 20'sAtasogezaje umri wakati kuna watu kila mwaka wanamuita mtoto? Hata akishika mkongojo watamuimbia simama dede, tete.
Atasogezaje umri wakati kuna watu kila mwaka wanamuita mtoto? Hata akishika mkongojo watamuimbia simama dede, tete.
Naona umri waje umeweka pause, from 2006 hadi leo ni 10 years ila umri wake bado upo 20's
Nadhani ambao hawajazaa na wana miaka 40 nao waingie kwenye kundi la watotoSupporters wake ndio wanarewind umri wake ili azidi kutokukua kifikra. Enzi za mababu zetu mwanamke akishafikisha miaka 15 alikuwa anaolewa sasa kwa vigezo hivi vipya vya uzee kutokana na kuzaa ukishafikisha 25yrs lazima utakuwa na watoto watatu si tayari utaitwa mzee?
Nadhani ambao hawajazaa na wana miaka 40 nao waingie kwenye kundi la watoto
Ndio maisha uliyokulia hayo eehWabongo kwa nyodo!unaweza kukuta hata kiwanja cha 20 kwa 20 hauna lakini unaponda dogo mwenye Nyumba ambayo hujawah hata kuwa nayo ndotoni;hapo umepanga chumba kimoja unalala na ndoo,jiko,vyombo sehemu moja aka Store
Huyu zari naye kakosa adabu,kwa umri wake wema ni kama mwanae,anaanzaje kurushiana vijembe na mwanae?
Ha ha ha ha ha zari ni mama mkubwa wakomii wema ni kama mamangu, so kumbe zari ni bibi yng!
Huyu zari naye kakosa adabu,kwa umri wake wema ni kama mwanae,anaanzaje kurushiana vijembe na mwanae?
Ahsante, kuna mtu alinimislead, alisema Zari anaweza kumzaa Wema!Ha ha ha ha ha zari ni mama mkubwa wako
Mtu mzima hazai mtu mzimaAhsante, kuna mtu alinimislead, alisema Zari anaweza kumzaa Wema!