Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Huyo wema nae aache kuweka fake account na kutumia team zake kumtukana na mwanae
Hivi Wema Ana utoto gani?ndio mnamtia ujinga anakula maisha anajiona bado kuandaa future!ukitaka kujua akili za dada zetu wengi soma huu uzi!unaweza kumuona dada smart lakini ikija issue ya Wema ndio huwa wanaonyesha rangi yao halisi;kuna rafiki yangu aliwahi kuniambia msichana hata awe mzuri vipi akimsifia Wema yeye inam turn off anamuona kicheche tu
 
ukweli lazma usemwe huyu dada umaarufa ulishaisha yoka enzi za kanumba......istoshe kichwani hazimtoshi unasema hadharani umetoa mimba ili upate nini
Hapo chacha bora hata angesema alipata matatizo et aliitoa kwa sababu alikua mdogo ha ha ha sijui udogo gani anaousema
 
Atasogezaje umri wakati kuna watu kila mwaka wanamuita mtoto? Hata akishika mkongojo watamuimbia simama dede, tete.
Naona umri waje umeweka pause, from 2006 hadi leo ni 10 years ila umri wake bado upo 20's
 
Atasogezaje umri wakati kuna watu kila mwaka wanamuita mtoto? Hata akishika mkongojo watamuimbia simama dede, tete.

Umeongea Gold tupu mkuu. Hivi utoto na uzee unapimwa kwa idadi ya watoto? Kwa umri?

Maana watu humu ndani wanamuona Zari ni mzee simply because ana miaka 30+ lakini huyu mwenye 25+ anaonekana mtoto. Kuna wanawake wanaanza kuzaa at 20 yrs na wengine at 30+ sasa yupi atakuwa mtoto na yupi mzee kwa kigezo cha watoto?

Ukiona mtu humu anamwita huyu mwingine ni mtoto basi ujue huyo naye ana fake ideas or hajui utu uzima unapimwa kwa vigezo gani
 
Naona umri waje umeweka pause, from 2006 hadi leo ni 10 years ila umri wake bado upo 20's

Supporters wake ndio wanarewind umri wake ili azidi kutokukua kifikra. Enzi za mababu zetu mwanamke akishafikisha miaka 15 alikuwa anaolewa sasa kwa vigezo hivi vipya vya uzee kutokana na kuzaa ukishafikisha 25yrs lazima utakuwa na watoto watatu si tayari utaitwa mzee?
 
Nadhani ambao hawajazaa na wana miaka 40 nao waingie kwenye kundi la watoto
 
Wabongo kwa nyodo!unaweza kukuta hata kiwanja cha 20 kwa 20 hauna lakini unaponda dogo mwenye Nyumba ambayo hujawah hata kuwa nayo ndotoni;hapo umepanga chumba kimoja unalala na ndoo,jiko,vyombo sehemu moja aka Store
Ndio maisha uliyokulia hayo eeh
 
Wema amezaliwa mwaka 1988,
Sasa mnaweza kupiga hesabu now ana miaka mingapi,
 
Mwanamke na umbeya damdam, waliogombezana ni wanawake wote vilevile mtoa mada..... Nifah
 
Bibi zari hajiamini kabisaaaaa four kids na mondi pembeni lakin bado ana stress za asbuh na mapema kusoma comments za o level insta. Stupid woman, grow up
 
Back
Top Bottom