Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Aiseee
 
Yaaani huyu bibi anazeeka vibaya mweee..ukigusia DNA tuu anafura kama simbaa mfyuuuu
 
Aahhh ttz vijana wanakula sana chips mayai hawawezi tena kusugua ndo yote haya
 
Yaaani huyu bibi anazeeka vibaya mweee..ukigusia DNA tuu anafura kama simbaa mfyuuuu

Kama uchi wake unaonekana muda wote ukitaka uuone dunia nzima DNA inamshinda niniiii,washajitahidi kulinganisha picha lakin wapiii Zari kashikwa pabayaaaaaaaa
 
Hivi wewe ni ME au KE??
Niwie radhi kama swali litakukera.
 

Duuuh kwahiyo swiss ndio anampiga show boss wke......hpo kweli lazma wema awe kichaa saa zingine kumchokoza mtu ni kujivua nguo 2
 

Hivi wema alishapewa talaka yake n mumewe jumbe teja.....kma bdo inabidi team yke wadai hiyo talaka mana alishindwa funga ndoa 2014 ikabidi afake kua kaolewa....mimi n uhakika madam sio mgumba anatakiwa apate bwana mfungwa aliekaa jela miaka 10 mwenye mbegu zenye kutu lazma mimba inase
 
Menopause inampeleka puta bibi.... Ana mda wa kufwatilia mpaka mbwa wa wema anaitwa nani? Nahitaji kujua maana ya bosslady .... Zari ana level gani jaman? Alijaribu kuwa na level enzi za ivan ila sasa hiv hana lolote levels kina mrs Mengi hawana time na vijembe mxiewwww levels my foot
 
Hahahahahaha

UNAJUWA MDA MWINGINE HAWA WATU WANATUENJOY TU NA KUFANYA WATU WATOKWE MAPOVU NA KUPANICK

Binadamu ni wanafki saana, mara zote nguvu kubwa na attention inawekwa kwenye vitu negative, kwanini mastaa wasifanye vitu negative ku boost kazi zao kwa mtindo huo???

Wema akitoa movie, ikija kufunguliwa thread hata kupita kuangalia maelezo wanakuwa wachache sana, na comments mbili tatu tena za kejeli, lakini ikitokea kasutana na mtu tunajazana saana as if bill ya msosi tokea tar 1 tunasimamia sisi hahahaha.. The same goes kwa wakina mziwanda, wakitoa ngoma no support na wachache sana wanasumbuka kufuatilia ila itokee kachora tatoo nyingine ya shishi baby people cares

Wacha movie iendelee, basis of all these sio team wema wala team zari, ILA NI UMBEA WA WATANZANIA...
 
kafanana nae bhana acha roho mbaya.
 
Jamani bibi kujiedit bibi kudeka ukishamaliza yoteeeeee tuwekee DNA na ikiwa fake mbona tutaenda hadi hospitali chezea wambea wewee japo hatukusaidii kulea ,DNA baby
 
Ila hiyo ya fake,fake,fake.....mbona kama ina kaukweli hivi
maana mwezi huu utaskia fulani mwezi ujao mwngine katoka sijui namibia mara...dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…