Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Daah ! .... Dimond ana roho ngumu ! demu wa kelele na ugomvi simuwezi kabisaa ! Zari ni mzaramoo wa Msanga Ngongelee kabisaa !View attachment 317735
Hebu nitafute tupate walau dinner leo,sio kwa kunifurahisha huku.
Halafu kuna majitu yanamtetea Zari sio mswahili!
Umenifurahisha sana.....
 
Wema alianza kuwa na domo kabla ya bibi bomba minjino zari lakin anavyopiga kelele utafikir kaibiwa bwana hahahhahahhaha zari please wait for the test of ur own medicine, mondi ni bwana tu not ur husband baby, kwa taarifa yako huku bongo anakula vitu vingine taaaaartibu. Chezea nauli ya sauzi wewe 😀😀😀😀😀😀😀🙄
 
Hebu weka ile picha zari ana michiriziii nenda kwa udakutz ipo halaf iweke humu,aliendaga thailand kufanyiwa surgery akasahau kulifanyia na komwe na kutengeneza meno
Najua kuna watu nawaudhi mnivumilie )
Naileta sasa hivi,nipe dakika 5.
 
Wema sepetu kaharibu dili LA whitepart LA Zari!! Sepetu manager campen wa ccm uchaguzi 20015 kachoma kwa wakubwa hilo tamasha lisifanyike ndani ya ardhi Tz!!! Zari kapanic anamwanga povu kama hana akili nzuri!! Tofauti na hapo mtapigwa mabomu tu hamna
 
Mkuu nishamtema long time aisee mwanamke yeye full time anawaza insta utafikiri mfanyakazi wa huko
 

Eti bibi kampeni wa ccm, mbona mmeshindwa kumlipia bili ya umeme hadi ameadhirika na kutanga tanga kama chokolaa?
Diamond muonee huruma mpangishe bure hata chumba kimoja kwenye kasri lako maana bibi bomba anahaha hana nyumba hana gari hana mimba hana pesa ya kulipa bili , lazima a panic !!!!
 
Nakupendea hapo tuuuuuu,hayaa
Hii hapa mamii, nimechekaje? Haya mnaomsifu Zari na kumsema Wema bibi michirizi semeni tena.
 

Attachments

  • 1453190947931.jpg
    58 KB · Views: 42
Atawadanganya hao hao....hana nyumba wala ushuzi,kapanga huko ununio.Asubiri **** imshuke kama sikio la tembo ndo atajua kumbe **** inazeeka.
Mhh maneno makali jaman..punguza hasira
 
 
Ana heri mwanaume aliye/atakaye kuoa. Mwanamke mbea anakuwaga mtyamuuuu...

Narudi kitandani...
hivi we baba unapenda wangapi humu aghrrrr naomba talaka japo najua mchepuko hauna talaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…