Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Daah ! .... Dimond ana roho ngumu ! demu wa kelele na ugomvi simuwezi kabisaa ! Zari ni mzaramoo wa Msanga Ngongelee kabisaa !View attachment 317735
Hebu nitafute tupate walau dinner leo,sio kwa kunifurahisha huku.
Halafu kuna majitu yanamtetea Zari sio mswahili!
Umenifurahisha sana.....
 
Wema alianza kuwa na domo kabla ya bibi bomba minjino zari lakin anavyopiga kelele utafikir kaibiwa bwana hahahhahahhaha zari please wait for the test of ur own medicine, mondi ni bwana tu not ur husband baby, kwa taarifa yako huku bongo anakula vitu vingine taaaaartibu. Chezea nauli ya sauzi wewe 😀😀😀😀😀😀😀🙄
 
Hebu weka ile picha zari ana michiriziii nenda kwa udakutz ipo halaf iweke humu,aliendaga thailand kufanyiwa surgery akasahau kulifanyia na komwe na kutengeneza meno
Najua kuna watu nawaudhi mnivumilie )
Naileta sasa hivi,nipe dakika 5.
 
Wema sepetu kaharibu dili LA whitepart LA Zari!! Sepetu manager campen wa ccm uchaguzi 20015 kachoma kwa wakubwa hilo tamasha lisifanyike ndani ya ardhi Tz!!! Zari kapanic anamwanga povu kama hana akili nzuri!! Tofauti na hapo mtapigwa mabomu tu hamna
 
Hilo nalo jipu unatakiwa kulitumbua mimi nikiwa na mwanamke hajali career yake kutwa kuongea mambo sijui flani kafanya hivi sijui flani mtu wake ana hela sijui wema au jokate wapo hivi nina principle yangu kubwa nayo ni kuanza kumpuuza mpaka anajua hapa sina changu anaanza kuondoka mwenyewe nyambafuuuuu
Mkuu nishamtema long time aisee mwanamke yeye full time anawaza insta utafikiri mfanyakazi wa huko
 
Wema sepetu kaharibu dili LA whitepart LA Zari!! Sepetu manager campen wa ccm uchaguzi 20015 kachoma kwa wakubwa hilo tamasha lisifanyike ndani ya ardhi Tz!!! Zari kapanic anamwanga povu kama hana akili nzuri!! Tofauti na hapo mtapigwa mabomu tu hamna

Eti bibi kampeni wa ccm, mbona mmeshindwa kumlipia bili ya umeme hadi ameadhirika na kutanga tanga kama chokolaa?
Diamond muonee huruma mpangishe bure hata chumba kimoja kwenye kasri lako maana bibi bomba anahaha hana nyumba hana gari hana mimba hana pesa ya kulipa bili , lazima a panic !!!!
 
Nakupendea hapo tuuuuuu,hayaa
Hii hapa mamii, nimechekaje? Haya mnaomsifu Zari na kumsema Wema bibi michirizi semeni tena.
 

Attachments

  • 1453190947931.jpg
    1453190947931.jpg
    58 KB · Views: 42
Atawadanganya hao hao....hana nyumba wala ushuzi,kapanga huko ununio.Asubiri **** imshuke kama sikio la tembo ndo atajua kumbe **** inazeeka.
Mhh maneno makali jaman..punguza hasira
 
Bossy lady unafanyiwa ukuwadi na sintah kweli khaaa yule ni Housegirl tu sasa kwa Ivan analea wale watoto wakishafika 18 ni bye bye na kwenye nyumba anatimuliwa...uwo mda ulobaki mchache angande Dai amjengee hata kibanda cha kujistiri lakini yule mtoto wa tandale ni mjanja anataka kula papuchi ya bure tu
 
Back
Top Bottom