Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Halafu huyu mama Wema eti anajigamba na hilo umbo lake!!

Anasema ana miaka 57 lakini umbo kama la binti/ mtoto mwenye miaka 12!

Halafu mama mtu kugombana na marafiki wa mwanae ndo tabia gani hiyo?

Maturity level yake iko chini sana. Anaweza kuwa na miaka 57, 58, au 59 lakini akili yake ni yaka kabinti kenye umri wa miaka 15.

 
Aaaaahaaaaa si kwa mashushu hayo
 
Wananufaika na kazi za watoto wao....mbona kama mama Lulu anakwambia **** yake imetoa chombo si mchezo tena wakumtunza coz **** ya mwanae inalipa.
 
Malaya mtamu mwenye elimu yake coz apart from huduma ya papuchi lakin unaweza ukapanuka kimawazo.Unakaa na mwanamke yeye mawazo yake kwenda americannails...mara escape one basi.Hakuna unachogain zaidi yakumwaga share.hawa
 
Utakufa mdomo wazi mwana mjaa laana wewe.
Unataka kutuambia wewe ni mtakatifu sana? Sio vizuri kuhukumu wala kumuombea mabaya mwenzio.
Mimi Wema simpendi lakini katika hili la mtoto namuombea kheri.
palipo na ukweli patasemwa na pia kwenye uongo patafunikwa#gotohell#
 
Malaya mtamu mwenye elimu yake coz apart from huduma ya papuchi lakin unaweza ukapanuka kimawazo.Unakaa na mwanamke yeye mawazo yake kwenda americannails...mara escape one basi.Hakuna unachogain zaidi yakumwaga share.hawa
Bado hajavaa sare na mashost ake sare sare hadi make up utadhani wazaramo
 
Hahahaaaa mkuu unaniacha hoi kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…