Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Uzi una Page nyingi sana lakini unaongelea mambo ya kijinga kabisa ambayo hayana faida yoyote kwa taifa hili tena utakuta mwanaume nae kashashidia mambo ya kipumbavu kama haya ndo hii nchi hatuna maendeleo maana wajinga wengi sana wanaowaza muda wote mambo ya kipumbavu na umbea muda wote nchi ina wajinga wengi.
Sasa na wewe hapa umekuja kufanya nini? Kuongeza ujinga?
Halafu wewe ni jinsia gani? Au huntha wewe?