Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Uzi una Page nyingi sana lakini unaongelea mambo ya kijinga kabisa ambayo hayana faida yoyote kwa taifa hili tena utakuta mwanaume nae kashashidia mambo ya kipumbavu kama haya ndo hii nchi hatuna maendeleo maana wajinga wengi sana wanaowaza muda wote mambo ya kipumbavu na umbea muda wote nchi ina wajinga wengi.

Sasa na wewe hapa umekuja kufanya nini? Kuongeza ujinga?

Halafu wewe ni jinsia gani? Au huntha wewe?
 
Uzi una Page nyingi sana lakini unaongelea mambo ya kijinga kabisa ambayo hayana faida yoyote kwa taifa hili tena utakuta mwanaume nae kashashidia mambo ya kipumbavu kama haya ndo hii nchi hatuna maendeleo maana wajinga wengi sana wanaowaza muda wote mambo ya kipumbavu na umbea muda wote nchi ina wajinga wengi.
sasa wewe ndio unaongea point au? tena bora hata sisi yani wewe unaomgea utumbo hata mtoto wa chekechea hawez kuandika upuuzi kama huu, ushauri wangu kaoshe kinyeleo chako ukalale pimbi wewe
 
Samahani imebidi nipitie kidogo hii thread naona imekwenda mpaka page 75 Lakini kweli wabongo tunapenda UDAKU Ndio Maana tunavijarida vingi vya UDAKU Kuliko Magazeti ya Maana na Yanauzikana kuliko Hard news Ndio maana tunakaa kupoteza Muda kujadili UPUZI Huu
sisi umbea kazi yetu, labda wewe ndio unapoteza muda, kitu kingine kama hupendi udaku humu umefuata nini? au unataka vichambk vya asubuhi ??
 
Hahahahahaaaa
Ukisikia yalaaa ujue limempata.
Asogee huko, huyo mama ubaya akitaka kushindana na zari atafute sehemu ya kukaa kwanza, maana kila siku anahama hana makazi maalumu, zari ni level nyingine yule, hampati kimaisha hata kidogo, wema she has a long way to go kumfikia zari
 
sisi umbea kazi yetu, labda wewe ndio unapoteza muda, kitu kingine kama hupendi udaku humu umefuata nini? au unataka vichambk vya asubuhi ??
Tizama sura ndio maana ukapenda udaku wewe ndio unaona sifaaaa tafuta kazi ufanye sikinieee wahed
 
Asogee huko, huyo mama ubaya akitaka kushindana na zari atafute sehemu ya kukaa kwanza, maana kila siku anahama hana makazi maalumu, zari ni level nyingine yule, hampati kimaisha hata kidogo, wema she has a long way to go kumfikia zari
Mtu siyo level yake lakin anamkosesha rahawonders shall never end!
 
amkoseshe raha kwa lipi labda naomba niulize? , zari ana kila kitu, ana pesa ana watoto na anaishi vizuri, huyo kidudu mfu kutwa kuhangaika na nyumba za kupanga,mara aibe umeme mara afukuzwe kwenye nyumba yani mpaka anatia huruma, yani wema kwa zari kakwama aiseeh atajutraaaa
 
Marafiki na ndugu wakaribu wa huyu mdada msaidieni this is wayyyy beyond stalking. Kina Penny mbona wamemove on.Shida yake nini?
 
amkoseshe raha kwa lipi labda naomba niulize? , zari ana kila kitu, ana pesa ana watoto na anaishi vizuri, huyo kidudu mfu kutwa kuhangaika na nyumba za kupanga,mara aibe umeme mara afukuzwe kwenye nyumba yani mpaka anatia huruma, yani wema kwa zari kakwama aiseeh atajutraaaa
Unaweza kuwa na vyote hivyo lakin bado ukawa na stress. Sasa kama vitu vyote hivyo vinampa furaha kulikon anahangaika na huyu maamaa wa kuhamahama haahaa kwa nini anapanic. She should enjoy all that
 
Sasa kama wakimchokoza akae kimya? huyo wema aachane na mambo ya uzazi aendelee kuuza k ahahahah zari mbaya khaaaa!!! , kampa za uso aache kumfuatilia yeye sio level yake, dah hilo dongo lazima wema achanganyikiwe, ila ki ukweli huwez kumsimamisha zari na wema, wema ataonekana housegirl, zari kiboko yule, mtoto classic hana njaa za kisenge kama mama ubaya
 
Unaweza kuwa na vyote hivyo lakin bado ukawa na stress. Sasa kama vitu vyote hivyo vinampa furaha kulikon anahangaika na huyu maamaa wa kuhamahama haahaa kwa nini anapanic. She should enjoy all that
Ni ukweli usiopingika huwezi kumfananisha zari na wema bwana, zari ni level za mbefele, yani wema kule asijaribu atadhalilika bure, maana zari atamvua nguo, wema kwa zari ni chokoraa sana hamgusi hata, huo ndio ukweli jamani
 
Unaweza kuwa na vyote hivyo lakin bado ukawa na stress. Sasa kama vitu vyote hivyo vinampa furaha kulikon anahangaika na huyu maamaa wa kuhamahama haahaa kwa nini anapanic. She should enjoy all that
zari hajazoea kuishi maisha ya ajabu kama ya wema, wema ni chokoraa sana anapenda ku fake life, huyo wema kwa zari atulize kipapa sio level yake hamfikii hata robo, hivi wema haoni aibu mpaka mtu anakwambia live sio level zako? dah ningekua mimi ningehama nchi kwa aibu, ukweli unauma sana
 
Huyo wema naona atakua anafurahi ku beef na mwanamke kama zari, maana alizoea kugombana na chokoraa wenzie akina aunty ezekiel, sasa hiv ka beef na zari basi anajiona na yeye muheshimiwa, zari maji marefu yale amuache tu maana atampausha dakika mbili, zari ni mafia yule hanaga ujinga hata
 
Tuletee huo ushahidi tukuamini, manake kwa stage aliyofikia zari saivi kama kungekuwa na kitu cha ivyo angeshascreen shot na kuitupia kwenye public

Kama nikipewa go ahead na wahusika wenyewe ntafanya hivyo..kwa sasa sina uwezo wa kufanya jambo hilo.
 
Asogee huko, huyo mama ubaya akitaka kushindana na zari atafute sehemu ya kukaa kwanza, maana kila siku anahama hana makazi maalumu, zari ni level nyingine yule, hampati kimaisha hata kidogo, wema she has a long way to go kumfikia zari
Huyo Zari ana nini zaidi ya kuringia mali za wanaume anaozaa nao?
Akiona mwanaume ana pesa tu anajibebesha mimba.
Kama yeye bingwa wa kuzaa kwanini asizae na Farouq?
Hana lolote nae,atuoneshe mali zake mwenyewe basi.

Kama kule kijijini kwao alikoenda juzi kati.....usinikumbushe nicheke mie.
 
Back
Top Bottom