Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

jichekeshe binamu ila ukweli ndio huo, kwani wema pesa anapata wapi vile? ana kazi gani mujini? mwenzie anauza **** anaishi maisha mazuri hana shida, yeye **** kaanza kuuza toka mwaka 2006 mpaka leo hana nyumba ahahahaah dah mpaka namuonea huruma, sasa ntu kama huyo utamfananisha na zari? wema kwa zari bado sana ajipange , zari sio level zake narudia tena binamu wema zari sio size yake , maana hampati kwa lolote, ifike mahali tuache ushabiki mavi
 
Ajenge kwanza hata chumba kimoja na sitting room, hata kama haina choo.... Ndo aanze ugomvi na zari
 
hivi huwaga mnalipwa?
 
huyo wema kama anatafuta sehemu ya kuishi aseme tumuombee akaishi kwa zari, maana anatia huruma kila siku kufukuzwa kwenye nyumba za watu, dah jamani mashabiki wa wema si mumchangie boss wenu anunue kiwanja ajenge hata banda basi, mimi roho inaniuma sana dada yetu anavyodhalilishwa na mganda kisa ana fake life
 
Wewe kwa nini unafuatilia maisha yao, kwani ya kwako yamekushinda?
Yangu hayajanishinda nina mume na watoto. Jua tofauti Ya ucelebrity na mtu wa kawaida, wenyewe ndio wameamua Kuwa kwenye sector ambayo all eyes are on them and we have rights to our opinions. Think before you write next time pliz hii bi blog Ya greater thinker
 
Jukwaa la elimu hujaliona?
 
Ajenge kwanza hata chumba kimoja na sitting room, hata kama haina choo.... Ndo aanze ugomvi na zari
ahahahahh uwiiii binamu nilitaka kunywa chai ila kwa jinsi ulivyonichekesha hata chai sinywi, hahaaa

hivi wema si ana mashabiki wengi sana? sasa kama wanampenda kwa nn wasimchangie boss wao wamjengee nyumba ajulikane anaishi wapi, maana kila siku wanamshabikia tu mpaka mwenzao anafukuzwa kwenye nyumba kwa kuiba umeme, hao mashabiki wa wema wanafiki tu mbwa hao, wanampenda wema kwenye matusi tu hawamsaidii chochote akipata shida, wamuache zari wa watu
 
Hivi warumi unawajua watu wanaojiita "team wema" unawajua? Ha ha ha kwenye functions za wema uwe unawaaangalia sample zao


Sasa imagine huyu ndio malkia wa insta mwenyewe katupia kiwigi kama kishungi cha kuku, hela za kumchangia wema wazitoe wapi
 
ahahahah binamu hivi hizo picha umezitoa wapi? navunjika mbavu ujue?? khaa kumbe hizo ndo team zake? machokoraa wa tandale ptuuu, khaa maskini hao hata pedi sidhan kama wanaweza kumnunulia boss wao
 
Binamu nimekuwekea sample za team wema, na ile siku ya birthday ungewaona wamepeleka keki yani vimepauka utasema vichokoraa vingine vimevaa sketi za mapanga yani ehuuuuuuu
 
ahahahah binamu hivi hizo picha umezitoa wapi? navunjika mbavu ujue?? khaa kumbe hizo ndo team zake? machokoraa wa tandale ptuuu, khaa maskini hao hata pedi sidhan kama wanaweza kumnunulia boss wao

Teh teh teh...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
 
ahahahah binamu hivi hizo picha umezitoa wapi? navunjika mbavu ujue?? khaa kumbe hizo ndo team zake? machokoraa wa tandale ptuuu, khaa maskini hao hata pedi sidhan kama wanaweza kumnunulia boss wao
Huyu ndo malkia sasa kuna yule Janet anavaaga kiatu pea moja tangu nianze kumfahamu sasa saa ngapi watamchangia wema hao wenyewe tu wanahitaji msaada
 
Hivi huyu mama ana akiili kweli? Ati anawaomba watu wampende mwanae!!

 
Huyu ndo malkia sasa kuna yule Janet anavaaga kiatu pea moja tangu nianze kumfahamu sasa saa ngapi watamchangia wema hao wenyewe tu wanahitaji msaada
ahahahah dah umejua kunivunja mbavu asubuhi asubuhi, mi namshauri huyo mama ubaya arudi tu shule , maana hata sintah kampita mama ubaya, hiv enzi za sintah kuna staa alikua anampata? kulikua na mrembo kama sintah miaka ile? leo yuko wapi? ila bora yeye kajikomboa ana elimu yake sasa hivi angalau ana maisha yake, sasa huyu mama ubaya we ngoja manina zake itafika wakat atataka kugawa papuchi hata bure watu watamkataa
 
We sasa ndo unatakiwa ku use huko ubongo unaousema unachoongea ni IRRELEVANT niuze jina, haya nimekuuuzia jina hilo chukua Evelyn Salt..... Nasema tena wema akili za biashara haaaaaaa anaweza kujasiria papuchi tu lipstick za kiss sio zake ni mali ya Mr problem solved hutaki kunya boga
 
Wewe?Subiri kwanza ninywe chai nipige kazi then nitarudi.
Ila naomba nikirudi hapa nikute mali za Zari peke yake na sio za Ivan wala domo ndio ligi itakuwa nzuri.
Wema kaanza kuuza 2006 juzi tu hapo utathubutu kumfananisha na Zari aliyeanza kuuza tokea miaka ya 80?
Tena hadi akaolewa ndoa ya kimila kisa mali?
Huyo Zari nae alikuwa majalala tu,amshukuru Ivan alivyomuokota huko....
 
Warumi shule nayo kipaji alikalia kiti four years akatoka na SIFURI aende shule kufanyaje tena, abaki tu instagram na snapchat huku ndio anapaweza anapata division one ila shule hapanaaa
 
Zari kabla ya filters....heheheee.
Ooh Zari mzuri,mzuri my foot
Hiki kizee ndio kinashindana na wasichana Instagram!
 

Attachments

  • 1453268114342.jpg
    54.3 KB · Views: 52
Walioana wakachuma wote wameachana kila mtu ana vyake, sasa mali za zari pekee unazotaka labda tuweke braa zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…