Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Leo kacheka kunani? hahhahah maana hakenuagi mweeee, maajabu
Chezea Wema anavyompelekesha wewe?
Halafu cha kushangaza kacheka kiupande,ule mbovu hajaweka.
Athubutu basi kucheka kama Wema...thubutu yake.
 
Chezea Wema anavyompelekesha wewe?
Halafu cha kushangaza kacheka kiupande,ule mbovu hajaweka.
Athubutu basi kucheka kama Wema...thubutu yake.
Jamani!
Shoga yangu naona hojaa zimeisha!
Acheke kama Wema? Ni mashindano??
Sasa mtasema na Wema avae swimming costume.
Siku akivaa nakunya hapa mpaka Mikumi.
 
Jamani!
Shoga yangu naona hojaa zimeisha!
Acheke kama Wema? Ni mashindano??
Sasa mtasema na Wema avae swimming costume.
Siku akivaa nakunya hapa mpaka Mikumi.
Lini umewahi kumuona Zari akiweka picha ya cheko insta?
Kama sio mashindano ni nini?
Kamuulize yeye aliyeona Wema kaweka picha akiwa anacheka nae akaweka.
 
Ha ha ha hata mimi natamani asijibu....sema ile timu fulu chokochoko.
Teh, zari inabidi ajikaze level zake ni kina madam ritha,mbona mwanzoni alikuwa kimya kipindi cha mimba..raha ya chokochoko ni kuwakalia kimyaaa
 
Hata mimi napenda akae kimya sema ndo hivo kuna muda mtu uvumilivu unakushinda ukizingatia nae ni binadamu
Ndio binadamu sawa,ila age yake inamtosha kumfanya awe na busara,awaache hao watoto wamchokonoe mpaka wachoke tatizo ni nini maana kama domo anaye na mtoto anaye anabishana na upande wa pili wasio na kitu
 
Lini umewahi kumuona Zari akiweka picha ya cheko insta?
Kama sio mashindano ni nini?
Kamuulize yeye aliyeona Wema kaweka picha akiwa anacheka nae akaweka.
Hapana, itakua tunakosea sana. Kisa Wema kaweka picha amecheka mwingine asiweke yake???
Ni utoto pia nafikiri.Na yes, Zari can smile too.Evelyne aliwahi kuweka picha hiyo nafikiri.Niliiona kwenye uzi fulani.
Narudia tena, siku Wema akivaa vazi la kuogelea nanya.Picha iwe current.
#tusitukananebestie
 
Halafu wasema eti sio team naniliu?
Eti humpendi naniliu?
:laugh: :laugh:
Wewe nae hebu niache,nimeshasema sio wewe unalazimisha.
Nasema ninachojisikia hata hivyo,vyovyote utakavyoona wewe sawa tu.
 
Wewe nae hebu niache,nimeshasema sio wewe unalazimisha.
Nasema ninachojisikia hata hivyo,vyovyote utakavyoona wewe sawa tu.
Usipaniki bibie, hahaa
Usiseme unachojisikia
Sema kinachostahili.
Utajisikia kusema visivyostahili
Utaharibu hali ya hewa!!!
 
Ndio binadamu sawa,ila age yake inamtosha kumfanya awe na busara,awaache hao watoto wamchokonoe mpaka wachoke tatizo ni nini maana kama domo anaye na mtoto anaye anabishana na upande wa pili wasio na kitu
Unafanya nini hufiki???
 
Hahahhahhaaa et nanya!!! jaman yu guys thanks 4making ma day euwwiiii!!!!
 
hivi hizi timu zinalipwa au??wema nae c atulie na big brother winner tatizo nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…