Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Moderator umbeya bila picha haunogi.
Fungueni izo picha
Hapo Zari anacheka.
Au kukojoa huku umechuchumaa pia alianzisha Wema?
 
Hata mimi nilikuwa nampenda sana,ila kwa huu upuuzi anaoufanya sasa umemshushia hadhi.
Nilikuwa namuona mwamamke classic kumbe hamna kitu kabisa.
Bora nibaki na Klyn tu ndio mdada wangu anayeelewa jinsi gani ya kubehave kama boss lady.
Ulipotea maboya...
Hamna clasic pale......
 
😀😀😀😀😀😀😀😀.

This is a clarion call.

Someone needs to be sectioned before someone does something really really bad to her.

Normal people who don't have mental issues don't behave this way.

 
Nafikiri mjadala umekuwa mkali sana hebu naomba dada zangu nifah na miss strong punguzeni kidogo maana huko tunapoenda mnaanza kuvuana nguo....huyo zari na wema kwanza wote wanafanana yani ni mapacha ambao wamezaliwa baba na mama tofauti
 
hahahaha lincoln huyu madame wetu nae chenga nyingi cna eti leo hii nae anasema kafunzwa na mama ake adabu.mama yake nae ana adabu gani wakati nae ni shake well before use hahaha

Haya ndo alofunzwa na huyo mamake.

Hebu sikia hilo tusi....sijawahi kulisikia popote pale.

'Hanithi malowani'? Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah

 
Hapana, kuwakalia kimya team pwanya road ni dhambi kubwa sana.
Ukiwachekea sana watakutia vidole mpaka kwenye naniliu.
Alivofanya sawasawa.
Sawa lakini haisaidiii...zari awanyooshe kwa vitendo..kwa hapa alipofika ningekua zari nisingewajibu maana walisema mimba hana haya akajifungua,wakasema mtoto sio wa domo tusubiri akue tutamuona yaani kwakweli team wema wanaweweseka inaonyesha dhahiri zari anawanyoosha bila pasi
 
kumbe nifah kiboko yako ni miss strong !
Thubutuuuuu,nimefuatwa PM na watu ninaowaheshimu wakiniomba kuacha mara moja maana nilitaka kumchafua vibaya sana.
Hata hivyo sio case,akileta fyokofyoko tena atajuta kuijua hii ID ya Nifah....
Haamini ajaribu aone.....
Halafu sitaki mnafki yeyote anifuate PM maana sitomsikiliza.
 
Me nadhani huko ni kuvuana nguo, hakuna haja yakutupiana maneno kuntu kama hayo, halafu beef kama hizi marekan zina mkwanja kinoma yani, ila huku bongo tunashia kwenye ngumi live live na kutoana macho, wanatafuta kick kwa fujo yan.
 
Hahaha nimecheka sana hii comment

Ni ukweli mtupu.

Hebu fikiria tu, unakuta eti mtu hampendi Nyani Ngabu.

Huyo anayemchukia hata hujui anafananaje...hata ukipishana naye mtaani huwezi kujua umepishana na Nyani Ngabu.

Na yeye Nyani Ngabu wala hana hata na habari na wewe.

Sasa chuki za nini?

Ndo maana wazimu una matawi mengi.

Hawa wote wanaowachukia Wema na Zari na kusema mara ooh Wema hivi...Zari vile...sijui hana hiki au kile.....

Hivi kweli unadhani Wema na Zari wanawajua hao watu?
 
Thubutuuuuu,nimefuatwa PM na watu ninaowaheshimu wakiniomba kuacha mara moja maana nilitaka kumchafua vibaya sana.
Hata hivyo sio case,akileta fyokofyoko tena atajuta kuijua hii ID ya Nifah....
Haamini ajaribu aone.....
Halafu sitaki mnafki yeyote anifuate PM maana sitomsikiliza.
Kweli mama na wewe ni wale wa kumchafua mtu kisa umepishana naye???
Kweli kabisa???!!
 
Back
Top Bottom