Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Hahahahaaaa ataweza wapi?Huyo ni kizee kimoja kipo songea huko kinapenda umbea balaa.

Halafu wewe laki si pesa. ulikuwa unamuulizia sana Mdakuzi umemuona?

Hahahahaah kumbe ni mzeee ,babu huyu laki hua anaifurahisha mno comment zake ananichekeshaga balaaa,hasa kipindi cha kampein na tulivyoshindwa kidogo afwee
 
Shoga My hubby (Mhhhhh wewe na hii ID yako unataka kutuletea balaa sasa)
Umemuona Tunda kabla hajatumia dekio kwa nataka_shari?
Na Diva na Ray je?Aisee nimecheka balaa.
 
Hahahahahaa halafu fupifupi lakini zina maudhi balaa.
Hata mimi ananichekeshaga sana.
 
Shoga My hubby (Mhhhhh wewe na hii ID yako unataka kutuletea balaa sasa)
Umemuona Tunda kabla hajatumia dekio kwa nataka_shari?
Na Diva na Ray je?Aisee nimecheka balaa.

Nimeona nilichekaa balaaa eti jumalokole anasema eti wakiulizwa wanasema ni Ac hahahahahah wengi tu kina eshabuheti,wolper wengi mno ,kuna picha eshabuheti aliwekwa hajapaka makeup mi nilimsahau kwa kwelii
 
Hahahahaah kumbe ni mzeee ,babu huyu laki hua anaifurahisha mno comment zake ananichekeshaga balaaa,hasa kipindi cha kampein na tulivyoshindwa kidogo afwee
Shoga My hubby (Mhhhhh wewe na hii ID yako unataka kutuletea balaa sasa)
Umemuona Tunda kabla hajatumia dekio kwa nataka_shari?
Na Diva na Ray je?Aisee nimecheka balaa.
Mnamcheka mwenzenu....huyo kilikuwa ndo kibarua chake afu nyie mnafanya utani...
 
Katika hili nimemdharau sana Zari.
Wema ameshamuachia huyo Diamond,anamfuata tena na vijembe vya nini?
Anaonekana ana stress sana baada ya kusikia Wema ana mimba.
Na sikutegemea Zari yule anayejidai mzungu kufanya uswahili wa namna hii.
Ni wazi Wema anamuumiza sana.

Wema ana mimba, habari njema sana hii Mungu amsaidie ajifungue salama. na ajiepushe na maneno ya wabibi yatampa stress bure.
 
Nimeona nilichekaa balaaa eti jumalokole anasema eti wakiulizwa wanasema ni Ac hahahahahah wengi tu kina eshabuheti,wolper wengi mno ,kuna picha eshabuheti aliwekwa hajapaka makeup mi nilimsahau kwa kwelii
Shoga mimi ile ya Esha nilibaki mdomo wazi,kumbe make up zinasaidia hivyo?
Kama kibibi gani sijui....
 
Dahh...alikuwemo yeye pamoja na jamaa mmoja anaitwa Yericko....sasahivi wamekuwa na adabu sana humu jukwaani
Hivi huu umbea wako unakusaidia nini?
Shemeji yangu laki si pesa. yuko Songea huko,sasa kuna vijana waliokamatwa Songea?
Yericko alikamatwa kwa kesi nyingine tofauti.
 
Wema ana mimba, habari njema sana hii Mungu amsaidie ajifungue salama. na ajiepushe na maneno ya wabibi yatampa stress bure.
Namuombea Mungu iwe kweli,mtoto ni jambo la kheri,chuki tuziweke pembeni.
 
Mna uhakika gani kama ana mimba? kama imo naomba iwe ya diamond Zari ataua mtu
Huyo Wema nae si atuwekee picha ya ultra sound?
Tumechoka mimba ya maneno.
 
Back
Top Bottom