Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Asavaliii hapo sasa umeongea ukweli lipstick ni za Mr problem solved sio za wema, say no to uongo..... Case closed

Ww hata hujielewi, unanilazimisha ni admit kitu niisichokuwa na uhakika nacho. Mwenyewe kasema zake, ww unalazimisha nikubali za Mr . problem, lol.
My argument was even if lipsticks are not Wema's , she's still clever as she knows her value as she could use it as a brand.
I hope now we are clear
 
Yeah we are clear kauza jina kwa Mr problem solved mwenye lipstick za kiss uwe na mchana mwema tukutane kwenye ubuyu mwingine huu ushaisha ladha
 
My hubby na nifah nitawaletea kuku wa kienyeji kutoka songea maana nasikia kuku wa kisasa mnaokula huko dar wamewatoa vitambi na kuwapiga pasi makalio.

Yaan na koment zako zinavyonichekesha vile mim nilijua mtoto wa mjini,tuletee tu halaf leo umejitahidi kuandika sentence ndefu
 
who_iz_the_boss-1453401939449_1.jpg
 
Haya ndo alofunzwa na huyo mamake.

Hebu sikia hilo tusi....sijawahi kulisikia popote pale.

'Hanithi malowani'? Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah

Halafu anamuongelea mume wa mtu ambaye hapo anamuita ni mume wa mtoto wake, eti marafiki wamemuiba.

Kituko haswa bora angesema mume awe single man aaagh
 
Halafu anamuongelea mume wa mtu ambaye hapo anamuita ni mume wa mtoto wake, eti marafiki wamemuiba.

Kituko haswa bora angesema mume awe single man aaagh

Wema ikija kwenye suala la ustaarabu na malezi hana kabisa nafasi ya kulizungumzia hususan katika muktadha wa kwamba eti yeye kafunzwa 'vizuri' na mamake.

Huo ni uongo na ushahidi kuwa ni uongo upo.

Labda azungumzie mengine lakini hilo la maadili mema hana kabisa mamlaka ya kimaadili kwenye kulizungumzia.
 
Back
Top Bottom