Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Eti Wema kafunzwa vizuri na mamake. Hebu msikilizeni hapa huyo mamake.....

'thubutu kumamayo' hahahahaaaaaa Mama Wema huyo.

Kama hiyo haitoshi, hebu msikilizeni huyo 'mzungu' Wema akishusha matusi kwa mfanyakazi wake....

'kumanina'....maneno ya 'mzungu' Wema aliyefunzwa vizuri na mamake

Hapa 'mzungu' Wema alipovamia ofisi za GP.....teh teh teh

Mama hovyo. Mtoto amekopi kwa mama
 
Ahahahahaaaaaa ama kweli ujuha ni kitu kibaya sana.

Ati Wema ndo mwenye mambo ya 'kizungu' na Zari ana mambo ya 'kiswahili.

Hapa mama Wema naye akiwatolea vitisho na kuwaporomoshea matusi GP.

Hapa anasema angekuwa na kisu angemchoma...sijui angemchoma nani.....

Mkuu Ngabu usiwachokoze watu wa wema wasije weka ile video zari anajipiga dildo
 
Umeona eeeh?Mama wa watoto wanne sijui anapata wapi muda wa kulumbana na wasichana Instagram.
Kuwa na watoto wanne au ishirini ni maamuzi ya mtu binafsi so suala la Zarina kuwa na watoto halituhusu and nashangaa mlimbwende wetu Sepetu na genge lake la propaganda za mitandaoni wanavyolikomalia inaonyesha ni jinsi gani bado hawajielewi..
 
Mi naweka ukweli tu na si uzushi.

Si umeona na kusikia mwenyewe hayo maneno wa 'wazungu' [Wema na mamake]?

Hebu ona hapo anavyorukaruka utadhani kapandwa na mashetani...teh teh teh.....na hicho kipara ng'oto...hmmmm

Mzungu wema ha ha ha ha ha nlikua sijawahi kuziona hizo
 
Back
Top Bottom