Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Katika hili nimemdharau sana Zari.
Wema ameshamuachia huyo Diamond,anamfuata tena na vijembe vya nini?
Anaonekana ana stress sana baada ya kusikia Wema ana mimba.
Na sikutegemea Zari yule anayejidai mzungu kufanya uswahili wa namna hii.
Ni wazi Wema anamuumiza sana.
Binamu kweli zari wa kuwa na pressure kwa wema sepetu? this is BIG NO, zari alikua hana time na mama ubaya, ila team yake imemchokonoa vya kutosha , mwache amwage cheche
 
...nimeshajua,kumbe wale watu wanaokaa kubonyeza bonyeza simu kila dakika hua wapo instagram,ni fulu umbeya,hata ukiukosa utautafuta wee mpk uupate..!!
 
Ni muendelezo wa vita ya maneno isiyoisha kati ya anayejiita Zari The Bosslady na wa kuitwa Tanzanians sweetheart Wema Sepetu.
Vita hiyo imeendelea leo kwa Zari kuanza kumtupia mafumbo mwenzie Wema,wapambe wa Wema wakacharuka na kumuita boss wao Wema ambaye alitaharuki na kuuliza kipi kinachoendelea?
Ndipo mpambe wake anayejiita wemareplies alipomuwekea screen shot ya aliyoyasema Zari.
Wema nae akajibu huku akisisitiza hana muda na Zari wala kaka (Diamond)

Kama haitoshi akapost picha huku akiweka caption ya kuwa kafunzwa na mamie kugombana na watu wazima (Zari) ni kukosa adabu.

Ndipo Zari nae akamjibu kuwa yuko busy na kazi,asijisumbue.

Nimeatach na screen shots za matukio yote.....


Mamie, aomba nikuulize....hivi umekosa cha kufanya mpaka utuletee upuuzi kama huu?
 
Katika hili nimemdharau sana Zari.
Wema ameshamuachia huyo Diamond,anamfuata tena na vijembe vya nini?
Anaonekana ana stress sana baada ya kusikia Wema ana mimba.
Na sikutegemea Zari yule anayejidai mzungu kufanya uswahili wa namna hii.
Ni wazi Wema anamuumiza sana.
Huyo wema the queen of drama mimba kaitolea wapi?? ebu atuletee DNA ya mimba yake na sisi sio kukazana tu na DNA ya tiffah, zari ni maji marefu yule mama ubaya atasubiri sanaaaaaa
 
Hakuna cha bora wala nini wote fake ... Wema ufake wake unaonekana sababu tuponae bongo...... Zari ni fake zaidi ya mmjuavyo fake offices, fake cars, fake bosslady....mpaka mwili wote ni fake so hakuna bora wala nini...... Bosslady hawi na mda wa kujibizana na vitoto vya olevo insta kwenye principals za ubosslady zari hana hata moja alijitahidi kujaribu enzi za ivan ila anajipa tittle ambayo hana in real life
Fake cars? Yale magari yaloandikwa zari ni yako? Ha ha ha kuwa na wema bongo sio sababu ya kuuona ufake wake wote zari na wema tunawaona instagram na ndio huko huko wanaonesha mambo yao
 
Diamond anaona raha hapo kula warembo km hao na maarufu sio mchezo...huku akifikiria juu ya DNA ya Tiffah mkemia mkuu % zake sijui zitahusikaa daa inauma
 
Huyo wema the queen of drama mimba kaitolea wapi?? ebu atuletee DNA ya mimba yake na sisi sio kukazana tu na DNA ya tiffah, zari ni maji marefu yule mama ubaya atasubiri sanaaaaaa
Aweke ultrasound tuone mimba
 
Leo nimempenda Wema bure,Zari mswahili sana.
Eti anamuuliza Esma umeme umelipia?
Akimaanisha Wema na lile sakata la Tanesco.
Huyo Esma nae atakuwa mpumbavu kama ataungana na Zari kumtusi Wema aliyemuunganishia Petit man aliyemtoa gundu la ndoa.
Uswahili wameuanza wao kumchokonoa mtoto wake, binamu wewe umezaa? kama umezaa utakua na uchungu na mtoto, inauma sana kwa mzazi kusikia mtoto wako anaitwa kinyago au mbaya, mwache amkomeshe mgumba huyo asiyejua uchungu wa kuzaa zaidi ya kujua kubadilisha miboo tu ya wanaume wa kila aina mjini, mxeeeee na bado, ila zari mbayaaaaa, tumeshapata jina jipya la mama ubaya, MISS FEKERO, kila kitu fekiiii mpaka mimba, hahahahaaah mujini sihami ng'oooo
 
ahahah huu umbea umenikunaje? ila mama tee nae mbaya kwa vijembe, ila mama ubaya zari sio level zake kwa kweli, yeye ashindane na akina aunty ezekiel
Sio level zake kwa lipi binamu?No more 'levels' kwa huu uswahili wake wa leo.
Levels kabaki nazo KLyn tu.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Uswahili haumaanishi unapatikana tu Tanzania hata huko kwa wenzetu Uswahili Upo.
Uswahili unatumika kuwakilisha tabia ya Mtu ambae hajastarabika na sio asili wapo wazungu wengi waswahili sana.Ukweli Ni kwamba Zari alidhaniwa Ni Mstaarabu kumbe ana chokochoko nyingi kama za Wema

Hahahaaa wewe hata mantiki nyepesi zinakushinda!

Uswahili ni hali ya kuwa Mswahili. Kuwa mswahili hakumaanishi kwamba wewe hujastaarabika, yaani ni mshenzi.

Mswahili si kiwakilishi cha tabia au mienendo ya mtu.

Mwingereza au Mmarekani atakuwaje Mswahili sasa ?

Mtu ambaye hajastaarabika ni mshenzi.

Ndo maana nimesema unahitaji kuelimika ili ujue.

Hebu fungua kamusi ya Kiswahili sanifu [kama hata unayo] halafu uangalie fasili ya neno 'mshenzi' ni nini.

Uswahili ni hali ya kuwa mswahili kama ilivyo usukuma na msukuma au uhehe na mhehe.

Neno sahihi la kumwelezea mtu ambaye unaona hana ustaarabu ni 'mshenzi'.
 
Fake life ✔
Fake car ✔
Fake house ✔
Fake mahips ✔
Fake tears ✔
Fake utoto ✔
Fake business ✔
Fake boyfriends ✔
Fake harusi ✔
Fake mimba ✔✔
Mtaje mtu huyu.
ahahajhahahaj kumanyoki, umeuaaaaaa ebu njooo sinza kijiweni tupate mbili tatu, khaaaaaa nimekupenda bureeee ajahahah wapi MISS FEKERO,usikute hata papuchi yake fake, zari shikamooooooooooooo!!!¡
 
Hata kama huwazi.pesa ya kusomesha...mwanamke lazima uwaze progress yao...... mwanamke hawezi kuacha kuwawazia wanae
Zari ni kati ya wanawake nliowaona wana upendo na wako karibu Mnooooo na watoto wao, nipo mtu anaejali sana watoto kwa hilo sioni kosa lake hapo
 
Huyo wema the queen of drama mimba kaitolea wapi?? ebu atuletee DNA ya mimba yake na sisi sio kukazana tu na DNA ya tiffah, zari ni maji marefu yule mama ubaya atasubiri sanaaaaaa
Kwakweli kwa hili hata mimi nasema na aiweke tu,hakuna namna tena.
Maigizo yake tumeyazoea
 
hapana ni team wema ndo waliomuanza Zari ngoja nitafute ile post nikuscreenshotie.
hao team wema mbwa kumanina zao leo nakesha nao insta kwa michambo, mbwa hao, tasa wakubwa kazi kufake life tu mpaka mimba waba fake, kesho utasikia mimba imetoka manina zao mxieee
 
Hahahahaa kwa ninavyosikia,ila nae atuwekee picha za ultra sound aache maneno mengi.
Teh teh ! Aweke tu picha maana kuna kipindi yeye mwenyewe alikuja public kwamba hazai ,na kampa dongo mwenzie atoe DNA ya tiffa
 
hao team wema mbwa kumanina zao leo nakesha nao insta kwa michambo, mbwa hao, tasa wakubwa kazi kufake life tu mpaka mimba waba fake, kesho utasikia mimba imetoka manina zao mxieee
mbona nikikusearch insta sikupati?
 
Back
Top Bottom