Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Kabla ya yote naombeni mods mbadilishe hii heading, kumbukeni hili jukwaa linapitiwa na watu wa nchi mbalimbali na kada mbalimbali.
Madame range ndio nani?Msiwape watu taabu ya kujiuliza maswali wakashindwa kuelewa post inaongelea nini kwa heading mbovu.
Nirudishieni heading yangu au mbadilishe hapo kwenye range muweke Wema.
Invisible Paw Moderator
 
Bomu jipya kutoka kwa mama T, amuonya mrembo wema sepetu aache kuulizia DNA ya mtoto wake badala yake akapime ultra sound ya mtoto ambao anadai amembeba tumboni mwake, mrs T aliendelea kutiririka na kumtaka wema sepetu akashindane na level zake sio yeye
 
Attachments

  • 1453181130448.jpg
    1453181130448.jpg
    54.4 KB · Views: 28
Umenena mkuu, usitukane kilema cha mtu hata siku moja, na ugumba au utasa ni pigo sana kwa maisha ya kila mtu, hapa tunapita wengi matasa, wagumba si vizuri kutiana simanzi. Ajabu kuna wengine wanasema hili wakati bado hawaj beba hata mimba ikatoka, kazi ya Mungu tumuachie Mungu turekebishane TABIA si maumbile,.
Kama anajua hayo yote angeacha kumtukana tiffah, mwache akomeshwe mgumba huyo, si alijitangaza mwenyewe alitoa mimba so what?
 
Anamwandikia ujumbe mtu ambaye siyo level yake🙂🙄🙄🙄🙄😎
 
Bomu jipya kutoka kwa mama T, amuonya mrembo wema sepetu aache kuulizia DNA ya mtoto wake badala yake akapime ultra sound ya mtoto ambao anadai amembeba tumboni mwake, mrs T aliendelea kutiririka na kumtaka wema sepetu akashindane na level zake sio yeye
mmh huyo zari kweli mbona alieandika ni diamond
 
Kama anajua hayo yote angeacha kumtukana tiffah, mwache akomeshwe mgumba huyo, si alijitangaza mwenyewe alitoa mimba so what?
Yaani kutoa mimba anaona kama jambo la kawaida....ni hatari aisee.
 
DNA imemtouch ahahhah mtoto hafanani hata robo zari muhurumie diamond jamani
Kwenye kugawa mbona wote wanagawa,alivyokua akija dar kwa kina katunzi alikuja kufanya whiteparty au,kuingia leba sio tatizo leba hata mbwa anaingia anajifungua akwendreeeeeeeeee alete DNA mbona utrasound walituonyesha Dna ina ugumu ganiii helooo halualaaaa
 
Back
Top Bottom