Kimenuka Instagram: Zari vs Wema Sepetu (Madam Range)

Huyo bosslady nae siku hizi fyongo tu
Busy kabisa anajibu michambo???!! Huh
Hahahaa jamani!
 
Halafu bado anaowauzi wanamfatilia kujua kinachojiri katika maisha yake kila kukicha.

Kaingia na Tiffa Dar jana.

Kama yeye ambavo anafuatilia habari za Wema. Mtu ashajua ni fake car, fake house, fake men, fake life........sasa kwanini kuhangaika nae??!!!

Kichekesho zaidi ni hapo anapomtambia Wema kuhusu Diamond......hapo ndipo nilipomuona mpuuzi tu kama wapuuzi wengine wanaotukananaga insta.

Huyu mwanamama wengi tunamfeel ila taratibu sasa tunaanza kuzodoka kwa jinsi tulikuwaga tunamfagilia na masifa kibao!
Mfyuuuuu!!!

Okay....ni maisha yake, let me not bother!
 
Alafu unadhani wote wanaomfuatilia Zari au Wema ni chuki??!!! Na vile vitoto vya secondary vilivyomo kule insta na vyenyewe vina chuki nao?! Vipi kuhusu wale choka mbaya wenzangu na mie wa uswahilini wanaojiita team naniliu naliu??

Get informed ule ni umbea kama umbea mwengine....mradi watu wamesogoa kupass time na wengine ndo vile kuongeza followers mwisho wa siku matangazo ya biashara then pesa mfukoni!!!
 
Wewe naww unakuja kuleta ya pesa yananihusu nini mimi?

Ukweli nimeusema hau haujui mtu kuchukiwa tu sababu upo ulivyo na wengi kuwazidi.

Ukweki nimeusema na nausimamia. Na wewe ni unaumia roho, kazi njema endelea kutangaza upate pesa.
 
Kama yeye ambavo anafuatilia habari za Wema. Mtu ashajua ni fake car, fake house, fake men, fake life........sasa kwanini kuhangaika nae??!!!

Kichekesho zaidi ni hapo anapomtambia Wema kuhusu Diamond......hapo ndipo nilipomuona mpuuzi tu kama wapuuzi wengine wanaotukananaga insta.

Huyu mwanamama wengi tunamfeel ila taratibu sasa tunaanza kuzodoka kwa jinsi tulikuwaga tunamfagilia na masifa kibao!
Mfyuuuuu!!!

Okay....ni maisha yake, let me not bother!

Umejaa wivu anamtambia alimshika sura kumgeuza amwangakie

Embu pita huko kushoto, ukweki umekuuma.

Shame on you kauza ads huko ule hata dagaa.
 
Wewe naww unakuja kuleta ya pesa yananihusu nini mimi?

Ukweli nimeusema hau haujui mtu kuchukiwa tu sababu upo ulivyo na wengi kuwazidi.

Ukweki nimeusema na nausimamia. Na wewe ni unaumia roho, kazi njema endelea kutangaza upate pesa.

Iishiii we jamaa vipiii!!! Niumie roho??!! Nilianza nae maisha yule?! Ebu mcheckini huyu nae!!!

Sina tangazo insta kwanza wala sijui hata acc yangu ina followers wangapi!

Kwa akili yako mdumao basi na we ndo ukajitia jaji wa kutolea hukumu kuniweka kundi la hao mashambenga wenzio ukidhani naumizwa na maisha ya Zari! Muone vile! Naanzaje sasa kuumizwa na maisha ya mtu nisiyemjua.....kwani kanidhulumu changu ndo akafanikiwa???!! Think big!!

Mi nimekwambia tu kawaida tokana na hali halisi tunayoiona huko, cha ajabu we unaibuka sijui na upimbi gani......unanigeuzia tena kibao mie heee.....inaonesha na we ni mshirika wa hizo team mnaoendaga mnatukana watu hovyo kwenye pages zao! Mfyuuuuu (siku nyingine kama hujanielewa niulize nikueleweshe au pita kimya)

Afu we kama nilikusoma vyema toka quote ya kwanza ila basi tu coz ulikuwa unanirefer kwenye ushuzi wenu huko ambako mtu akiwa na opinion tofauti basi mshamgeuza hater mxiiiuuuuuu! Mnaboa sana!! Uliponidhihirishia nikajua na wewe ni wale wale mashankupe wa team matusi ni pale ulipomalizis eti katua Dar na Tiffah toka SA.......sasa we ulitaka atue na nani...kibofu chako au?!
Kwanini asienjoy maisha yake na mwanae na familia yake?! Au unataka kutuambia hilo nalo ni tishio??!! We ndugu bhana, sijui ulikuwa umetoka wapi wakati unareply comment yangu.
Anyway ngoja niishie hapa nisikuudhi sana pengine unaweza ukaja kuwa rafiki yangu huko mbeleni!
 
Umejaa wivu anamtambia alimshika sura kumgeuza amwangakie

Embu pita huko kushoto, ukweki umekuuma.

Shame on you kauza ads huko ule hata dagaa.

We ni mwanafunzi wa chekechea nini??!!
Unakimbilia kuandikia wino wakati hata penseli hujui kuishika.....duuh!!! Kaazi kweli kweli!

We wivu unaujua??!!
Una rangi gani?! I guess hapo ulikosa la kuandika ila basi tu ukaamua kujiandikia......atleast ungeficha ujinga wako!!

Sasa sikiliza vizuri.....am a shameless woman pindi ninapokutana na maboya kama wewe! Hii chata ni ya kwenda kuweka ads ndo nipate kula japo dagaa???!! Omg!! U must be day dreaming!
Hayo mambo mnayaweza nyie wagangaa njaa mnaojikuta mishe in town kila kitu kwenu adimu!! Budget zenyewe za mawazo hahahaaa!!!
C'on........njoo walau nikupe kuku wawili wa kienyeji nawe ukafuge ili uwe unakunywa supu ya uhakika!

Haya....wakati mie napita kushoto we hakikisha unapita kulia tena mbioooo kabla sijakukata mtama nikakutoa meno yote ya sebuleni!! Lol
 
Mimi nimeshachora mstari _________________ msitumie maneno tu! Hahahahaha dah

**Natania tu jamani msinipige Bure
Hahahahaaa na mimi niko pembeni hapa nafuatilia mpambano kwa ukaribu kabisa.
 
We ni mwanafunzi wa chekechea nini??!!
Unakimbilia kuandikia wino wakati hata penseli hujui kuishika.....duuh!!! Kaazi kweli kweli!

We wivu unaujua??!!
Una rangi gani?! I guess hapo ulikosa la kuandika ila basi tu ukaamua kujiandikia......atleast ungeficha ujinga wako!!

Sasa sikiliza vizuri.....am a shameless woman pindi ninapokutana na maboya kama wewe! Hii chata ni ya kwenda kuweka ads ndo nipate kula japo dagaa???!! Omg!! U must be day dreaming!
Hayo mambo mnayaweza nyie wagangaa njaa mnaojikuta mishe in town kila kitu kwenu adimu!! Budget zenyewe za mawazo hahahaaa!!!
C'on........njoo walau nikupe kuku wawili wa kienyeji nawe ukafuge ili uwe unakunywa supu ya uhakika!

Haya....wakati mie napita kushoto we hakikisha unapita kulia tena mbioooo kabla sijakukata mtama nikakutoa meno yote ya sebuleni!! Lol

Sasa kamuone daktari una tatizo kubwa haujijui.
 
Huu upambe umezidi wallah.
Hakujui Zari, Wema wala Dai ila povu linakutoka kama umekula omo.
Mnachekesha.
 
Sasa kamuone daktari una tatizo kubwa haujijui.

Tatizo kubwa ninalolijua mimi ni umasikini wa akili ambalo we ndio limekusonga, sasa basi fanya kujitibia kwanza wewe alafu ndo uje unambie na mimi!
 
Mi naona huyu Zari a act umri wake
Na kama mama wa watoto wa nne.

Aachane na haya mambo.
Unless anatafuta publicity.
Na Wema ndio mtoko maana ma
Paparazzi wanapenda.
 
Aaagh si unajua umasikini ulivyo wewe, mie siujui. Enjoy

Ndio naujua ila wa akili a.k.a ujinga, upumbavu, ukilaza plus utahira na matakataka yote as kuna kuna mental crazy mmoja yuko sawa na wewe!
Nikimuona nitamsabahi
 
Back
Top Bottom