kilimbamula
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,792
- 853
Hivi Amesimama juu ya kitu gani?hahaaa batik haina uwiano n hips inabidi akafanye wheelbalance mana akitembea itakua anavuta upande mmoja....kma trekta au isuzu oldmodel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Amesimama juu ya kitu gani?hahaaa batik haina uwiano n hips inabidi akafanye wheelbalance mana akitembea itakua anavuta upande mmoja....kma trekta au isuzu oldmodel
Hahahahaaaa....haya mafuriko ndo yamenleta huku?
..naomba tu nielekeze njia ya kufika Mabwepande!
Huyo bosslady nae siku hizi fyongo tu
Busy kabisa anajibu michambo???!! Huh
Hahahaa jamani!
Halafu bado anaowauzi wanamfatilia kujua kinachojiri katika maisha yake kila kukicha.
Kaingia na Tiffa Dar jana.
Halafu bado anaowauzi wanamfatilia kujua kinachojiri katika maisha yake kila kukicha.
Kaingia na Tiffa Dar jana.
Alafu unadhani wote wanaomfuatilia Zari au Wema ni chuki??!!! Na vile vitoto vya secondary vilivyomo kule insta na vyenyewe vina chuki nao?! Vipi kuhusu wale choka mbaya wenzangu na mie wa uswahilini wanaojiita team naniliu naliu??
Get informed ule ni umbea kama umbea mwengine....mradi watu wamesogoa kupass time na wengine ndo vile kuongeza followers mwisho wa siku matangazo ya biashara then pesa mfukoni!!!
Kama yeye ambavo anafuatilia habari za Wema. Mtu ashajua ni fake car, fake house, fake men, fake life........sasa kwanini kuhangaika nae??!!!
Kichekesho zaidi ni hapo anapomtambia Wema kuhusu Diamond......hapo ndipo nilipomuona mpuuzi tu kama wapuuzi wengine wanaotukananaga insta.
Huyu mwanamama wengi tunamfeel ila taratibu sasa tunaanza kuzodoka kwa jinsi tulikuwaga tunamfagilia na masifa kibao!
Mfyuuuuu!!!
Okay....ni maisha yake, let me not bother!
Wewe naww unakuja kuleta ya pesa yananihusu nini mimi?
Ukweli nimeusema hau haujui mtu kuchukiwa tu sababu upo ulivyo na wengi kuwazidi.
Ukweki nimeusema na nausimamia. Na wewe ni unaumia roho, kazi njema endelea kutangaza upate pesa.
Umejaa wivu anamtambia alimshika sura kumgeuza amwangakie
Embu pita huko kushoto, ukweki umekuuma.
Shame on you kauza ads huko ule hata dagaa.
We ni mwanafunzi wa chekechea nini??!!
Unakimbilia kuandikia wino wakati hata penseli hujui kuishika.....duuh!!! Kaazi kweli kweli!
We wivu unaujua??!!
Una rangi gani?! I guess hapo ulikosa la kuandika ila basi tu ukaamua kujiandikia......atleast ungeficha ujinga wako!!
Sasa sikiliza vizuri.....am a shameless woman pindi ninapokutana na maboya kama wewe! Hii chata ni ya kwenda kuweka ads ndo nipate kula japo dagaa???!! Omg!! U must be day dreaming!
Hayo mambo mnayaweza nyie wagangaa njaa mnaojikuta mishe in town kila kitu kwenu adimu!! Budget zenyewe za mawazo hahahaaa!!!
C'on........njoo walau nikupe kuku wawili wa kienyeji nawe ukafuge ili uwe unakunywa supu ya uhakika!
Haya....wakati mie napita kushoto we hakikisha unapita kulia tena mbioooo kabla sijakukata mtama nikakutoa meno yote ya sebuleni!! Lol
Sasa kamuone daktari una tatizo kubwa haujijui.
Tatizo kubwa ninalolijua mimi ni umasikini wa akili ambalo we ndio limekusonga, sasa basi fanya kujitibia kwanza wewe alafu ndo uje unambie na mimi!
Aaagh si unajua umasikini ulivyo wewe, mie siujui. Enjoy