Tusubiri wahamie kwa mayele tu.Hao Azam wakifika kwa Mayele wananchi lazima waandamane kwa mama
Hapo ndio utaona busara za wana Yanga zimefikia ukomoTusubiri wahamie kwa mayele tu.
Best mnaongoza ligi,Yanga bila Fei inawezekana hata Job nafasi yake itazibwa na Nondo,ikishindikana mtamrudisha Ninja.Naona mmeamua hii ndo iwe njia ya kujisahaulisha yanayoendelea katika msimamo wa ligi.
Niseme tu mchezaji kuhama timu moja kwenda nyingine ni jambo la kawaida kabisa.
Money talksHao Azam wakifika kwa Mayele wananchi lazima waandamane kwa mama
Sasa mbona manara hataki tetesi ye kila kitu anachamba tuNaona mmeamua hii ndo iwe njia ya kujisahaulisha yanayoendelea katika msimamo wa ligi.
Niseme tu mchezaji kuhama timu moja kwenda nyingine ni jambo la kawaida kabisa.
Amri kiemba jana aliongea kitu kimoja cha muhimu sana kuhusu wachezaji na maslahi kama ulimsikiliza utamuelewa feisalNi jambo la kawaida Kwa mchezaji anae elekea kumaliza mkataba, kama Yanga wangekua na presha wange msainisha kabla ya huu kwisha.
Kama Dickson ataona Yanga hakuna maslahi ni hakiyake kutafuta maslahi sehemu nyingine. Ndivyo Dunia ya mpira ilivyo.
Kwani manara ni nani Yanga?? Acha kuwa bwegeSasa mbona manara hataki tetesi ye kila kitu anachamba tu
Tupate Wadhamini Wetu Wakati Fiston Mayele AnajiandaaHao Azam wakifika kwa Mayele wananchi lazima waandamane kwa mama
NakaziaKwani manara ni nani Yanga?? Acha kuwa bwege
Ni assistant coach wa yanga we huoni misekule inavyomuaminiKwani manara ni nani Yanga?? Acha kuwa bwege
Christmas Imekuwa Chungu, Mwaka Mpya Team HaitakuwepoHuu usajili umekuja na kimbebe chake😳😳
Ila umeongea huku umejificha kwa woga..Naona mmeamua hii ndo iwe njia ya kujisahaulisha yanayoendelea katika msimamo wa ligi.
Niseme tu mchezaji kuhama timu moja kwenda nyingine ni jambo la kawaida kabisa.
We ni msukule wake? Mbona sijaona utopolo yeyote humu anayemuongelea manara zaidi Yako wewe?Ni assistant coach wa yanga we huoni misekule inavyomuamini