Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAHAHAHAHAAAAA! Nimecheka sana et CHAI JABA...Aziz ki kamaliza hela zote haiwezekani yule chai jaba apate hela nyingi kuliko feisal na Dickson job wakati magoli yake mengi ya kuvizia
Alisema wachezaji waangalie maslahi waachane na mambo ya kutafuta legacy kwenye team kama hakuna maslahi basi wakatafute sehemu nyingine kuliko kufurahisha mashabikiAlisemaje mkuu? Namba nukuu kidogo.
Mnamlipa feisal million 4 halafu chai jaba million 20 kwa mpira gani aliokuwa nao.Tumia lugha ya kistaarabu wewe mshabiki wa madawa ya kulevya Fc.
Leo unamkataa manara kweli utopolo wenye akili ni wawili na leo nimethibitisha tenaWe ni msukule wake? Mbona sijaona utopolo yeyote humu anayemuongelea manara zaidi Yako wewe?
Pole dada umeongea kwa uchungu. Msimamo wa ligi hata hivyo haubadiliki kwa kukaa kimya kuhusu Fei Toto 😄Naona mmeamua hii ndo iwe njia ya kujisahaulisha yanayoendelea katika msimamo wa ligi. Niseme tu mchezaji kuhama timu moja kwenda nyingine ni jambo la kawaida kabisa.
Job alizaliwa Yanga? akiondoka anaenda na timu? vipi kuhusu beki Katili Otarra?Mwaka wa sheitwan ,hizi ni za ndaaaaaaaaaaaani sana
[emoji871]Licha ya hapo awali kuelezwa Yanga wanambakisha Dickson Job lakini taarifa zilizotufikia mchezaji huyo bado hajasaini mkataba mpya aliyopewa na Yanga ambayo thamani yake ni milion 70 kwa miaka 2 ..inaelezwa Job bado hajasaini mkataba huo akidai ongezeko katika mkataba huo mpya.
[emoji871]Haijajulikana ni lini Job atasaini huo mkataba au atachukua maamuzi mengine, na Azam, wanamfuatilia kwa karibu na mazungumzo yameanza na wakala wake kipindi pia maongezi na yanga yanaendele
View attachment 2457104
Tusubiri wahamie kwa mayele tu.
clementinho bafo anahitaji muda kidogo japo ni mshambuliaji mzuri.View attachment 2457331
Tunae huyu dogo kama ataondoka...japo itakuwa ngumi ya korodani
Umenena vema. Ni hakika na itambulike kuwa mpira ni ajira kwao na akishindwa kuitumia fursa muda utamwacha na akipoteza uwezo club itamwacha.Niseme tu mchezaji kuhama timu moja kwenda nyingine ni jambo la kawaida kabisa.
Kweli kabisa Mtani na uezi sema mchezaji atacheza timu moja maisha yake yote hilo huwa halipo. .Umenena vema. Ni hakika na itambulike kuwa mpira ni ajira kwao na akishindwa kuitumia fursa muda utamwacha na akipoteza uwezo club itamwacha.
Kwahiyo ni jambo la kawaida kama ilivyo kwa Messi na Neymar. Ila maisha yatasonga.
Kwani nani kasema siyo jambo la kawaida?Naona mmeamua hii ndo iwe njia ya kujisahaulisha yanayoendelea katika msimamo wa ligi.
Niseme tu mchezaji kuhama timu moja kwenda nyingine ni jambo la kawaida kabisa.