Kimenuka: Jipya laja, beki kisiki Dickson Job agoma kuongeza mkataba Yanga

Kimenuka: Jipya laja, beki kisiki Dickson Job agoma kuongeza mkataba Yanga

Hao Azam wakifika kwa Mayele wananchi lazima waandamane kwa mama
Hatari
Screenshot_20221224-224154.jpg
 
Naona mmeamua hii ndo iwe njia ya kujisahaulisha yanayoendelea katika msimamo wa ligi. Niseme tu mchezaji kuhama timu moja kwenda nyingine ni jambo la kawaida kabisa.
Pole dada umeongea kwa uchungu. Msimamo wa ligi hata hivyo haubadiliki kwa kukaa kimya kuhusu Fei Toto 😄
 
Mwaka wa sheitwan ,hizi ni za ndaaaaaaaaaaaani sana

[emoji871]Licha ya hapo awali kuelezwa Yanga wanambakisha Dickson Job lakini taarifa zilizotufikia mchezaji huyo bado hajasaini mkataba mpya aliyopewa na Yanga ambayo thamani yake ni milion 70 kwa miaka 2 ..inaelezwa Job bado hajasaini mkataba huo akidai ongezeko katika mkataba huo mpya.

[emoji871]Haijajulikana ni lini Job atasaini huo mkataba au atachukua maamuzi mengine, na Azam, wanamfuatilia kwa karibu na mazungumzo yameanza na wakala wake kipindi pia maongezi na yanga yanaendele
View attachment 2457104
Job alizaliwa Yanga? akiondoka anaenda na timu? vipi kuhusu beki Katili Otarra?
 
Niseme tu mchezaji kuhama timu moja kwenda nyingine ni jambo la kawaida kabisa.
Umenena vema. Ni hakika na itambulike kuwa mpira ni ajira kwao na akishindwa kuitumia fursa muda utamwacha na akipoteza uwezo club itamwacha.

Kwahiyo ni jambo la kawaida kama ilivyo kwa Messi na Neymar. Ila maisha yatasonga.
 
Kweli kabisa Mtani na uezi sema mchezaji atacheza timu moja maisha yake yote hilo huwa halipo. .

Hivyo hili la Feisal ni jambo la kawaida kabisa.
 
Naona mmeamua hii ndo iwe njia ya kujisahaulisha yanayoendelea katika msimamo wa ligi.

Niseme tu mchezaji kuhama timu moja kwenda nyingine ni jambo la kawaida kabisa.
Kwani nani kasema siyo jambo la kawaida?
 
Back
Top Bottom