Kimenuka: Jipya laja, beki kisiki Dickson Job agoma kuongeza mkataba Yanga

We ni msukule wake? Mbona sijaona utopolo yeyote humu anayemuongelea manara zaidi Yako wewe?
Leo unamkataa manara kweli utopolo wenye akili ni wawili na leo nimethibitisha tena
 
Naona mmeamua hii ndo iwe njia ya kujisahaulisha yanayoendelea katika msimamo wa ligi. Niseme tu mchezaji kuhama timu moja kwenda nyingine ni jambo la kawaida kabisa.
Pole dada umeongea kwa uchungu. Msimamo wa ligi hata hivyo haubadiliki kwa kukaa kimya kuhusu Fei Toto πŸ˜„
 
Job alizaliwa Yanga? akiondoka anaenda na timu? vipi kuhusu beki Katili Otarra?
 
Niseme tu mchezaji kuhama timu moja kwenda nyingine ni jambo la kawaida kabisa.
Umenena vema. Ni hakika na itambulike kuwa mpira ni ajira kwao na akishindwa kuitumia fursa muda utamwacha na akipoteza uwezo club itamwacha.

Kwahiyo ni jambo la kawaida kama ilivyo kwa Messi na Neymar. Ila maisha yatasonga.
 
Kweli kabisa Mtani na uezi sema mchezaji atacheza timu moja maisha yake yote hilo huwa halipo. .

Hivyo hili la Feisal ni jambo la kawaida kabisa.
 
Naona mmeamua hii ndo iwe njia ya kujisahaulisha yanayoendelea katika msimamo wa ligi.

Niseme tu mchezaji kuhama timu moja kwenda nyingine ni jambo la kawaida kabisa.
Kwani nani kasema siyo jambo la kawaida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…