DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
Lakini naona ni mind game kuelekea mchezo wao dhid ya Azam na Kwa style hii lazima uto waliweChristmas Imekuwa Chungu, Mwaka Mpya Team Haitakuwepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini naona ni mind game kuelekea mchezo wao dhid ya Azam na Kwa style hii lazima uto waliweChristmas Imekuwa Chungu, Mwaka Mpya Team Haitakuwepo
Hahahaa. Hivyo lengo lako tuumie? LolSema ukweli,hujaumia?hujaumiaaaaaaaa???????
Hakika best.Best mnaongoza ligi,Yanga bila Fei inawezekana hata Job nafasi yake itazibwa na Nondo,ikishindikana mtamrudisha Ninja.
Unaumwa we Dulla kuniquote quote mara mbili mbili hiyo veepe. 😀Sema ukweli,hujaumia?hujaumiaaaaaaaa???????
Tumia lugha ya kistaarabu wewe mshabiki wa madawa ya kulevya Fc.Aziz ki kamaliza hela zote haiwezekani yule chai jaba apate hela nyingi kuliko feisal na Dickson job wakati magoli yake mengi ya kuvizia
Watambeba na MayeleSijui kwa Nini sioni shida maana kombe tutachukua ila hatari yangu ni Moja TU kama Azam ameweza kuingia kirahisi kwenye meza ya maamuzi ya Yanga na kumchukua fei basi Khali si sawa huko tuendako
mtani na wewe ukiendelea hivi tunakusajili kama stivu lialia tulivyomsajili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona mmeamua hii ndo iwe njia ya kujisahaulisha yanayoendelea katika msimamo wa ligi.
Niseme tu mchezaji kuhama timu moja kwenda nyingine ni jambo la kawaida kabisa.
manara ni mnafiq anashangilia akiwa chooniSasa mbona manara hataki tetesi ye kila kitu anachamba tu
Zimebaki mechi 13Naona mmeamua hii ndo iwe njia ya kujisahaulisha yanayoendelea katika msimamo wa ligi.
Niseme tu mchezaji kuhama timu moja kwenda nyingine ni jambo la kawaida kabisa.
Kifupi ni kwamba FURAHA YANGU NI KUONA UMBWA WA UTOPOLO WANAKOSA RAHA,AMANI,....YAANI MUDA WOTE WAWE NA MISUKOSUKO TU...LIKITOKA HILI LIJE LA MVUA NA MASIKA HAYA INYESHEEEEEEEEEE SIKU 7 MFULULIZO MAFURIKO YAZAMISHE KILE KIJENGO CHAO PALE JANGWANI,
Alisemaje mkuu? Namba nukuu kidogo.Amri kiemba jana aliongea kitu kimoja cha muhimu sana kuhusu wachezaji na maslahi kama ulimsikiliza utamuelewa feisal
Hao Azam wakifika kwa Mayele wananchi lazima waandamane kwa mama