Michael Wambura janja janja sana,inawezekana sana akawa kafanyaMichael Wambura
Kilichomrudisha ukanda alioutengeneza yy na JM,na pia u friends of Simba ulichangia,ila jamaa janja janja mnoHata mm nilishangaa walio mrudisha kumbe majanga tu. Itakuwa alihonga
Evidence?.....Amefikishwa kwenye Kamati ya Maadili kuhusiana na makosa matatu. Kupokea fedha za TFF malipo yasiyo halali, kugushi barua na kushusha hadhi ya TFF.
Kwa kweli tabia haina dawa. It was only a question of time.
Huyu yuko kama alivyokuwa Rage, hawezi kuishi maisha nje ya siasa za mpira.Michael wambur duuh! Yaani nilikuwa najua kabisa huyu jamaa anagombea sana kurudi TFF kwa ajiri ya kupiga pesa tu,hakuna kingine kilichokua kinampeleka pale.yaani ameshindwa kabisa kusoma alama za nyakati? Kweli mlamba asali ahachi.alishapajua kuna pesa za mchezo.