Tetesi: Kimenuka Kambi ya Wanalunyasi huko Uturuki

Tetesi: Kimenuka Kambi ya Wanalunyasi huko Uturuki

(1)KOCHA HAMTAKI NGOMA.
Kocha mkuu wa Simba Mbrazil Mzee wa Samba Boy anasema hamuelewi hata kidogo Fabrice Ngoma ,Jana ilichezwa mechi ya mazoezi baina yao Simba Full Game ,Ngoma alicheza Dakika 37 akawa amepata Injury 🩸 kocha anasema hakumpendekeza

Ni Ngoma huyu huyu ambaye ni namba 6 wa Ally Kamwe au unamzungumzia mwingine? Maana dakika chache zimepita ametoka kucheza, labda amecheza akiwa majeruhi

1690738576865.png
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Inaumiza sana.Halafu wao wapo Uturuki sisi tunamemena mihogo kama panya hapahapa Avic Town.Inaumiza sana.
Inaumiza zaidi pale wenzetu wanapoamua kubaki Avic Town na kumemena mihogo, huku sisi tukienda Uturuki! Halafu mwishoni mwa msimu tunaambulia patupu, na hivyo kusababisha mwekezaji wetu kukata tamaa mara kwa mara!

Ona sasa wahuni wamempiga tena mwekezaji wetu hela kwa kumsajili golikipa wa ligi daraja la 4, kinyume kabisa na kanuni za TFF! Kiukweli siyo poa hata kidogo. Kwa hali hii wenzetu wataendela tu kuwa Mabingwa wa kihistoria.
 
Kabisa.Ngoja tuone hao daydreamers watakavyochekesha umati kwa mazoea.
 
Mimi siamini kwenye kocha kusajili wachezaji yule zoran mak alimleta mzungu wake akawa analazimisha amuanzishe mbrazil kaja na kipa wake halafu anasema wachezaji hawataki.
 
Dhambi ya kumwacha kipa KAKOLANYA itawatafuna sana SIMBA.

SIMBA haikuhitaji kabisa kumsajiri kipa msimu huu.

Ila huenda Tajiri MO hakumtaka
 
Kikao cha kuififisha Simba day kimeisha siyo? Mbona ajenda hamjabadirisha sasa? Simba kujaza kwa Mkapa haitazidi saa sita
 
Huko Brazil hadi mbwa wanacheza boli. Na kuhusu huyo Ngoma kuna video ya Robertino akimsifia na jana baada ya kupiga bonge la assist kwa Zimbwe alimkimbilia Robertinho akapongezwa.

Na mbona mlisema huyo kipa kaletwa na kocha mwenyewe, leo mnasema ni dili la "mtu mmoja pale Simba"
 
Back
Top Bottom