Kimenuka Kenya: Rais Uhuru Kenyatta awaondolea Bodyguards Odinga na Musyoka

Kimenuka Kenya: Rais Uhuru Kenyatta awaondolea Bodyguards Odinga na Musyoka

Tumekuchoka sasa na ramli zako, mara jiweke kisaikolojia , mara nyumba ile.... tired of your ramli. Badilisha tabia please! Badilisha namnan yauandishi wako

Foolish.
 
Hizi katiba zetu haziwleweki inatakiwa kampeni zikianza rais aliye madarakani ni mgombea akabidhi madaraka kwa mtu mwingine kama Jaji mkuu
Inawezekanaje (hasa kwa Africa) haki kutendeka wakati huku wewe ni rais na vyombo vyote vya dola unavyo upande mwingine wewe ni mgombea?

Unaliangalia hilo kwa upande mmoja tu ambao unakunufaisha, lkn kuna sababu kwa nini iko hivyo kwamba ni muhimu Raisi aliyepo ni lazima abakie raisi mpaka pale ambapo Raisi mwingine anapoapishwa, hao Wazungu ambao wanafanya unavyofikiri mifumo yao iko tofauti na sisi, isitoshe huwezi kufananisha USA na Kenya au Tanzania, USA imeanzishwa miaka ya 1700 huko, wkt TZ, Kenya miaka ya 1960!
 
Upuuzi huo!bodyguard wlisababbisha nn? Au au Ndo mipango ya Nissan nyeupe kusukwa?
 
huko Angola dos santos amestaafu lakini bado amejibakizia mamlaka ya kuteua wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi hiyo mpaka atakapokufa.[emoji3][emoji3][emoji3]
 
huko Angola dos santos amestaafu lakini bado amejibakizia mamlaka ya kuteua wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi hiyo mpaka atakapokufa.[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji2] [emoji2] kweli mkuu?
 
Back
Top Bottom