Kimenuka Kenya: Rais Uhuru Kenyatta awaondolea Bodyguards Odinga na Musyoka

Ndiyo imetoka hiyo Mkuu. Katiba ya Kenya inampendelea na kumbeba yule aliyeshika ' dola ' na nadhani hata katika nchi zingine zote ila sina uhakika kwa Tanzania Kwetu huku kwani tunaheshimu sana Katiba yetu, tunaipenda hii hii na wala hatutaki ibadilishwe. Sijawahi kuona Katiba nzuri duniani kote kama ya Kwetu nchini Tanzania kwani imetufanya hadi leo Watanzania tuwe wamoja, tupendane, tushirikiane, hata mmoja akiudhiwa au kuibiwa Kura na mwenzake hucheka na kupeana mikono ya amani huku Katiba hiyo hiyo ikitufanya sasa siku hizi tuwe tunawavua Binadamu wenzetu Baharini badala ya Samaki halafu hatupewi taarifa yoyote na Wahusika na maisha yanaendelea na Katiba yetu.
du! yaani kuvua maiti badala ya samaki?
 
Rais Uhuru ana point, walinzi wao watawalinda vipi kwenye maandamano wakati huko huko kwenye maandamano tayari kuna polisi wa kutosha? Hiyo itakuwa ni kufanya kazi ile ile mara mbili! Watarudishiwa walinzi wao baada ya maandamano! Simple!
 
Katika kuitekeleza vizuri na kiufanisi kabisa ile kauli ya ' akuanzae mmalize ' au ' ukilijua hili Mimi nalijua lile ' au ' ukimwaga Ugali Mimi namwaga Mboga, Sahani hadi Maji ya Kunawa kabisa ' au ' kama noma na iwe noma ' au kwa Kilingala ( Wazairwaa ) wanasema ' azomata azomate ' hatimaye Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta leo ameamuru Walinzi ( Bodyguards ) wa akina Raila Odinga na Kalonzo Musyoka waache rasmi kuwalinda hao Viongozi na warudi upesi / haraka sana Ofisini wakapangiwe majukumu mengine.

Hivi kwa hii hatua aliyoichukua leo hii Rais Kenyatta East Africa kabla ya kushuhudia marudio ya Uchaguzi wa Kenya hatuwezi Kwanza tukaanza na ' maombolezo ' ya ama msiba mmoja au misiba miwili na hatimaye hadi Siku ya Uchaguzi ikifika Kenya inakuwa tu na Wagombe wawili Uhuru Kenyatta na William Rutto wote kutoka Chama cha Jubilee?

Shikamoo Uhuru Kenyatta.

Nawasilisha
Acha upotoshaji mwambie aliyekutuma hatuwezi kuvigonganisha vyombo vya usalama wao siwanataka kuandamana waandamane tu watalindwa na polisi au wanataka mabodyguard wapambane na polisi ikitokea vurugu au?
 
Kwani katiba yao inasemaje juu ya ulinzi wa maraisi na mawaziri wakuu wastaafu? Au huwa ni vile atakavyoamua mkulu wa kule?
Jaji augustino ramadhani alinyanganywa walinzi nyumbani kwake na mheshimiwa dhaifu je haki za majaji wakuu zinasemaje tz
 
Katika kuitekeleza vizuri na kiufanisi kabisa ile kauli ya ' akuanzae mmalize ' au ' ukilijua hili Mimi nalijua lile ' au ' ukimwaga Ugali Mimi namwaga Mboga, Sahani hadi Maji ya Kunawa kabisa ' au ' kama noma na iwe noma ' au kwa Kilingala ( Wazairwaa ) wanasema ' azomata azomate ' hatimaye Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta leo ameamuru Walinzi ( Bodyguards ) wa akina Raila Odinga na Kalonzo Musyoka waache rasmi kuwalinda hao Viongozi na warudi upesi / haraka sana Ofisini wakapangiwe majukumu mengine.

Hivi kwa hii hatua aliyoichukua leo hii Rais Kenyatta East Africa kabla ya kushuhudia marudio ya Uchaguzi wa Kenya hatuwezi Kwanza tukaanza na ' maombolezo ' ya ama msiba mmoja au misiba miwili na hatimaye hadi Siku ya Uchaguzi ikifika Kenya inakuwa tu na Wagombe wawili Uhuru Kenyatta na William Rutto wote kutoka Chama cha Jubilee?

Shikamoo Uhuru Kenyatta.

Nawasilisha
Tumekuchoka sasa na ramli zako, mara jiweke kisaikolojia , mara nyumba ile.... tired of your ramli. Badilisha tabia please! Badilisha namnan yauandishi wako
 
Katika kuitekeleza vizuri na kiufanisi kabisa ile kauli ya ' akuanzae mmalize ' au ' ukilijua hili Mimi nalijua lile ' au ' ukimwaga Ugali Mimi namwaga Mboga, Sahani hadi Maji ya Kunawa kabisa ' au ' kama noma na iwe noma ' au kwa Kilingala ( Wazairwaa ) wanasema ' azomata azomate ' hatimaye Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta leo ameamuru Walinzi ( Bodyguards ) wa akina Raila Odinga na Kalonzo Musyoka waache rasmi kuwalinda hao Viongozi na warudi upesi / haraka sana Ofisini wakapangiwe majukumu mengine.

Hivi kwa hii hatua aliyoichukua leo hii Rais Kenyatta East Africa kabla ya kushuhudia marudio ya Uchaguzi wa Kenya hatuwezi Kwanza tukaanza na ' maombolezo ' ya ama msiba mmoja au misiba miwili na hatimaye hadi Siku ya Uchaguzi ikifika Kenya inakuwa tu na Wagombe wawili Uhuru Kenyatta na William Rutto wote kutoka Chama cha Jubilee?

Shikamoo Uhuru Kenyatta.

Nawasilisha

Sasa kama Raila na Kalonzo wanaenda kwenye maandamano 'haramu' itakuwaje wawe na walinzi wa serikali? Use common sense man! Rais hawezi kuruhusu vyombo vya taifa kutumika katika shuhuli ambazo ni haramu, lakini kama ni campaign za kutafuta kura ni sawa kwani washapangiwa vituo nchi nzima na tume ya uchaguzi yaani IEBC. Kudos Uhuru.
 
Umesema vyema mkuu
 
Baba wa demokrasia Africa kafanya yake teh teh teh..kuna watu walikuwa wanamshauri na mtawala wetu hapa tz amuige Kenyatta.. teh teh teh
Nadhani itabidi tumuige baba wa demokrasia Africa.

Sumaye,Lowassa ulinzi uondolewe fastaa.
 
Rais Uhuru ana point, walinzi wao watawalinda vipi kwenye maandamano wakati huko huko kwenye maandamano tayari kuna polisi wa kutosha? Hiyo itakuwa ni kufanya kazi ile ile mara mbili! Watarudishiwa walinzi wao baada ya maandamano! Simple!
Wanalinda RAIA wengine
 
Kitendo kibaya sana kufanywa na rais kipindi hiki.. usiojulikana wakimpiga mashine SMG bwana Raila patakuwa hapatoshi.. Naona wenzetu mnawashwawashwa mnachokitafuta mtakipata ..
 
Hizi katiba zetu haziwleweki inatakiwa kampeni zikianza rais aliye madarakani ni mgombea akabidhi madaraka kwa mtu mwingine kama Jaji mkuu
Inawezekanaje (hasa kwa Africa) haki kutendeka wakati huku wewe ni rais na vyombo vyote vya dola unavyo upande mwingine wewe ni mgombea?
 
Back
Top Bottom