Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu una majibu heviHuyo anayeonekana hapo katika Avatar yako ndiyo chanzo changu Kikuu cha hii habari.
du! yaani kuvua maiti badala ya samaki?Ndiyo imetoka hiyo Mkuu. Katiba ya Kenya inampendelea na kumbeba yule aliyeshika ' dola ' na nadhani hata katika nchi zingine zote ila sina uhakika kwa Tanzania Kwetu huku kwani tunaheshimu sana Katiba yetu, tunaipenda hii hii na wala hatutaki ibadilishwe. Sijawahi kuona Katiba nzuri duniani kote kama ya Kwetu nchini Tanzania kwani imetufanya hadi leo Watanzania tuwe wamoja, tupendane, tushirikiane, hata mmoja akiudhiwa au kuibiwa Kura na mwenzake hucheka na kupeana mikono ya amani huku Katiba hiyo hiyo ikitufanya sasa siku hizi tuwe tunawavua Binadamu wenzetu Baharini badala ya Samaki halafu hatupewi taarifa yoyote na Wahusika na maisha yanaendelea na Katiba yetu.
Wee jamaa me huwa nakupinga sana ..sababu huwa hunaga point za maana.
Usiwe mkali mkuuHuyo anayeonekana hapo katika Avatar yako ndiyo chanzo changu Kikuu cha hii habari.
Acha upotoshaji mwambie aliyekutuma hatuwezi kuvigonganisha vyombo vya usalama wao siwanataka kuandamana waandamane tu watalindwa na polisi au wanataka mabodyguard wapambane na polisi ikitokea vurugu au?Katika kuitekeleza vizuri na kiufanisi kabisa ile kauli ya ' akuanzae mmalize ' au ' ukilijua hili Mimi nalijua lile ' au ' ukimwaga Ugali Mimi namwaga Mboga, Sahani hadi Maji ya Kunawa kabisa ' au ' kama noma na iwe noma ' au kwa Kilingala ( Wazairwaa ) wanasema ' azomata azomate ' hatimaye Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta leo ameamuru Walinzi ( Bodyguards ) wa akina Raila Odinga na Kalonzo Musyoka waache rasmi kuwalinda hao Viongozi na warudi upesi / haraka sana Ofisini wakapangiwe majukumu mengine.
Hivi kwa hii hatua aliyoichukua leo hii Rais Kenyatta East Africa kabla ya kushuhudia marudio ya Uchaguzi wa Kenya hatuwezi Kwanza tukaanza na ' maombolezo ' ya ama msiba mmoja au misiba miwili na hatimaye hadi Siku ya Uchaguzi ikifika Kenya inakuwa tu na Wagombe wawili Uhuru Kenyatta na William Rutto wote kutoka Chama cha Jubilee?
Shikamoo Uhuru Kenyatta.
Nawasilisha
Sawa umesikika wewe mpumbavu wa makinikiaKenyatta c mwanademokrasia hata kidogo. Kuna baadhi ya wapumbavu wa chadomo wana bwabwaja tu
Jaji augustino ramadhani alinyanganywa walinzi nyumbani kwake na mheshimiwa dhaifu je haki za majaji wakuu zinasemaje tzKwani katiba yao inasemaje juu ya ulinzi wa maraisi na mawaziri wakuu wastaafu? Au huwa ni vile atakavyoamua mkulu wa kule?
Tumekuchoka sasa na ramli zako, mara jiweke kisaikolojia , mara nyumba ile.... tired of your ramli. Badilisha tabia please! Badilisha namnan yauandishi wakoKatika kuitekeleza vizuri na kiufanisi kabisa ile kauli ya ' akuanzae mmalize ' au ' ukilijua hili Mimi nalijua lile ' au ' ukimwaga Ugali Mimi namwaga Mboga, Sahani hadi Maji ya Kunawa kabisa ' au ' kama noma na iwe noma ' au kwa Kilingala ( Wazairwaa ) wanasema ' azomata azomate ' hatimaye Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta leo ameamuru Walinzi ( Bodyguards ) wa akina Raila Odinga na Kalonzo Musyoka waache rasmi kuwalinda hao Viongozi na warudi upesi / haraka sana Ofisini wakapangiwe majukumu mengine.
Hivi kwa hii hatua aliyoichukua leo hii Rais Kenyatta East Africa kabla ya kushuhudia marudio ya Uchaguzi wa Kenya hatuwezi Kwanza tukaanza na ' maombolezo ' ya ama msiba mmoja au misiba miwili na hatimaye hadi Siku ya Uchaguzi ikifika Kenya inakuwa tu na Wagombe wawili Uhuru Kenyatta na William Rutto wote kutoka Chama cha Jubilee?
Shikamoo Uhuru Kenyatta.
Nawasilisha
Katika kuitekeleza vizuri na kiufanisi kabisa ile kauli ya ' akuanzae mmalize ' au ' ukilijua hili Mimi nalijua lile ' au ' ukimwaga Ugali Mimi namwaga Mboga, Sahani hadi Maji ya Kunawa kabisa ' au ' kama noma na iwe noma ' au kwa Kilingala ( Wazairwaa ) wanasema ' azomata azomate ' hatimaye Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta leo ameamuru Walinzi ( Bodyguards ) wa akina Raila Odinga na Kalonzo Musyoka waache rasmi kuwalinda hao Viongozi na warudi upesi / haraka sana Ofisini wakapangiwe majukumu mengine.
Hivi kwa hii hatua aliyoichukua leo hii Rais Kenyatta East Africa kabla ya kushuhudia marudio ya Uchaguzi wa Kenya hatuwezi Kwanza tukaanza na ' maombolezo ' ya ama msiba mmoja au misiba miwili na hatimaye hadi Siku ya Uchaguzi ikifika Kenya inakuwa tu na Wagombe wawili Uhuru Kenyatta na William Rutto wote kutoka Chama cha Jubilee?
Shikamoo Uhuru Kenyatta.
Nawasilisha
Umesema vyema mkuuSasa kama Raila na Kalonzo wanaenda kwenye maandamano 'haramu' itakuwaje wawe na walinzi wa serikali? Use common sense man! Rais hawezi kuruhusu vyombo vya taifa kutumika katika shuhuli ambazo ni haramu, lakini kama ni campaign za kutafuta kura ni sawa kwani washapangiwa vituo nchi nzima na tume ya uchaguzi yaani IEBC. Kudos Uhuru.
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji75]Huyo anayeonekana hapo katika Avatar yako ndiyo chanzo changu Kikuu cha hii habari.
Nadhani itabidi tumuige baba wa demokrasia Africa.Baba wa demokrasia Africa kafanya yake teh teh teh..kuna watu walikuwa wanamshauri na mtawala wetu hapa tz amuige Kenyatta.. teh teh teh
Wanalinda RAIA wengineRais Uhuru ana point, walinzi wao watawalinda vipi kwenye maandamano wakati huko huko kwenye maandamano tayari kuna polisi wa kutosha? Hiyo itakuwa ni kufanya kazi ile ile mara mbili! Watarudishiwa walinzi wao baada ya maandamano! Simple!