Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii makitu naona imekuwa ya upande mmoja tu ni mtu mmoja analaumu upande wa pili.Ngoja ifike siku tutasikia ya upande wa pili tutachanganua. Nadhani ndiyo njia sahihi ya kusuluhisha jambo. Hata katika matembele kuna baadhi vinaliwa na vingine hutupwa kule. Nimepita tu jamani maana panapofuka moshi .......
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Sure. Alianza sugu na kundi lake, saa yamemfika mama Gardener!Mkuu kwani ni JD peke yake analalamika?
wapo wasanii wengi wamekuwa na lawana za namna hiyo hiyo so hapo kuna ukweli.
kumbuka kuna wanaojiita VINEGA
Watu wanashtuka mtu akiongelea kifo, utafikiri hawafahamu fika kuwa kila nafsi itakionja. Kwenye maisha yangu nimepitia mambo mengi, magumu na mepesi Na bado naendelea ku experience mambo magumu zaidi kadri ninavyozidi kuwa mkubwa. Siku za karibuni nimekuwa nikipigwa vita sana na watu wenye uwezo mkubwa kifedha, ki umri na hata wenye ukubwa wa connection katika hii industry ya muziki. Wanaomiliki chombo cha habari. Nasimama na kusema kuwa sitokata tamaa, kwani lengo lao kubwa ni kuona na kuhakikisha nimeanguka kabisa na sipo katika ramani ya muziki. Watu hao ambao vita yao ilikuwa baridi miaka kumi iliopita, sasa inazidi kuwa moto baada ya kutambua kuwa mimi ni mtu mwenye maamuzi yangu na misimamo yan
Wakati wanawaonea wengine enzi hizo yeye anabebwa alikuwa kimyaaaaaaaaaaa anafurahia kupandishwa chati na kuimba yeye sio hivyoooooo.
Sasa mambo hayamuendei ndio anaongea kusema wako hivi vile, ulikaa kimya kwanini ukaangalia akina sugu wanalalamika na wengine nyimbo zao zilikuwa hazipigwi, wewe ulisikika kila saa sasa eti hivi vile.
Hana wa kumbeba sasa ndio maana anaongeaaaaaaaa akalale mbele.
Wala sitetei yeye wala clouds naongea yeye jide kwa aliyoyaona na kunyamaza kisa pesa.
Jide ni kilaza kukuzid wew?Sijawahi kujua kumbe huyu Dada ni kilaza hivi! How on earth could you write this???
G kabebwa kwani ye mtoto hana maamuzi?makubWa cjawah kusikia jitu zima kubebwaNa hizo pesa ndio zilimpa jeuri ya kumbeba g jumla ilahali akijua ni mume wa mtu. Hata yeye jambawazi tu alikwapua mume wa mwenzie.
Laana inamtafuna sasa
sio mfuatiliaji mzuri wa bongo fleva lakini najua kuwa kinachofanyika ni hawa jamaa wa clouds sio kulinda na kukuza wasanii na sanaa kwa ujumla wake bali wanaangalia wanapata nini huku wakisahau kuwa wao ni sehemu ndogo sana katika kuufanya muziki na sanaa viwe.Saida Kaloli alilalamika kwa kupewa laki tano pamoja na kujaza uwanja wa taifa zamani leo uwanja wa uhuru jide nae atoa maneno mazito ruge, kusaga mnatatizo gani fungukeni tuwasikie
mekuelewa JIDE kama hunipendi nikiwa hai basi usinipende nikifa..........