Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hapa ninachoona wewe kichwani ndio hakuna kitu kabisa, uti wa mgongo tu ungalikutosha huna matumizi na ubongo.hili ni jibu la jide kuhusu harakati za sugu via twitter.
"Usinitishe tafadhali, Sugu ni Sugu na mimi
ni Jide do not compare kila mtu
anajua maumivu yake.
Usilazimishe umoja wa wasanii"
hapa unaona kuna kitu kichwani kweli.
Na wewe mkubwa mzima unajitoa akili na kujidhalilisha bure, upuuzi wa Clouds wala hauhitaji ushahidi wa side B. Sitowasahau hawa mbwa kwenye uzinduzi wa Malalia no more show iliyofadhiliwa na wahisani mbele ya Rais wa nchi wakatoza kiingilio wahudhuriaji na kushusha heshima ya Rais kwamba anakumbatia wezi.Kuna ushahidi wa wao kusiliba zaidi ya maneno tu ya watu?
Kuna mshkaji yeyote kwenye kampuni yoyote ile anayetoa udhamini ambaye walim-lobby akafuta udhamini?
Nyani Ngabu hivi wewe kichwani mzima kweli? au una maslahi yepi na hili genge la Maharamia?