Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa

Kumbe hayo ndiyo yanaendelea na Muziki wa hapa nyumbani, basi kuna tatizo kubwa zaidi ya hapo.
 
Kama mti mbichi mnautendea hivi je mti mkavu?

Tunakuunga mkono binti Machozi na Tuko tayari kuweka hii kumbukumbu kwenye mioyo yetu
na vyombo vya sheria kulinda wosia wako huu.

Msimamo wako, ndoto zako na vision zako ndio zitakutoa na sio wapenda taarabu (mawingu).

Big up Jide
 

Mkuu kwani ni JD peke yake analalamika?

wapo wasanii wengi wamekuwa na lawana za namna hiyo hiyo so hapo kuna ukweli.
kumbuka kuna wanaojiita VINEGA
 
Mkuu kwani ni JD peke yake analalamika?

wapo wasanii wengi wamekuwa na lawana za namna hiyo hiyo so hapo kuna ukweli.
kumbuka kuna wanaojiita VINEGA
Sure. Alianza sugu na kundi lake, saa yamemfika mama Gardener!
 
Uoga ni Dhambi Mbaya kuliko zote , hao jamaa hawana lolote , wasanii mkishirikiana mtawashinda kiurahisi sana , watu wengi siku hizi hawasikilizi tena hiyo radio yao , na nimegundua pia kuwa Tv yao ndiyo Tv mbovu kuliko zote nchi hii , Hongera sana Dada Judy , Tamasha pekee watakalobakiwa nalo hao jamaa ni kufunga spika zao CHIMWAGA baasi ! Ni suala la muda tu .
 
Clouds wanafanya counter ya machozi Band na show za Club Maisha

wanataka kumwangusha kibiashara ili kuwatisha wasanii bila Ruge na Kusaga husimami

Kusaga ule Uenyekiti wa Vazi la Taifa alopewa na rafiki yake Nchimbi vipi ashakamilisha?
 
Jide simama, hakuna silaha yoyote itakayosimama juu yako. Watu wengine wanafikiri eti fulani haiwezekani kha!
 
 
Tunahitaji watanzania wajasiri na wasiopenda kuonewa kama JD. Hongera sana Dada na mungu atakutangulia siku zote.
kumbuka mwisho wa ujinga ni aibu os very soon tutapata majibu kutoka kwao

Livanga
 

Na hizo pesa ndio zilimpa jeuri ya kumbeba g jumla ilahali akijua ni mume wa mtu. Hata yeye jambawazi tu alikwapua mume wa mwenzie.

Laana inamtafuna sasa
 
Wow!! What an act of valor!! That's cool Jay Dee!! Burst them lady!! Burst them!!!!!......
 
Na hizo pesa ndio zilimpa jeuri ya kumbeba g jumla ilahali akijua ni mume wa mtu. Hata yeye jambawazi tu alikwapua mume wa mwenzie.

Laana inamtafuna sasa
G kabebwa kwani ye mtoto hana maamuzi?makubWa cjawah kusikia jitu zima kubebwa
 
Mmmmh, kuna tatzo hapo, sio bure. Haiwezekani wasanii wakalaumu sana kwa hao watu tuuu wakati watanzania tupo zaidi ya millioni 44.
 
mimi naomba kujua yafuatayo, mawili tu;
huyo mtu ambaye binti comando anasema wako watatu lakini amewasema wawili baada ya kugundua huyo jamaa wa tatu anatumika tu lakini hapendi tabia yao ni nani?? tungependa kujua jina lake huyo???

hawa ma-s.h.o.g.a waliotajwa sana ni kina nani? jamani tunaomba tuwajue?

hivi ni kweli kayanda kafukuzwa sababu katembea na demu wa r.u.g.e? hili limesema pia
 
Duh mpaka JIDE ameamua kufunguka kuhusu Ruge na Joe Kusaga,basi kuna tatizo kubwa kwa hawa jamaa.Alianza Sugu,afande sele,soggy Doggy anter,mkoloni,dani msimamo na VINEGA kwa ujumla.Na sasa Komando JIDE afunguka..dah ni maneno makali sana haya.hawa jamaa inabidi wajitafakari na kujirudi kwa wanyonge hawa.inauma sana.Ndio maana Gadner kahamia Times fm nadhani...Hongera Jide kwa maamuzi haya magumu,
 
Saida Kaloli alilalamika kwa kupewa laki tano pamoja na kujaza uwanja wa taifa zamani leo uwanja wa uhuru jide nae atoa maneno mazito ruge, kusaga mnatatizo gani fungukeni tuwasikie
sio mfuatiliaji mzuri wa bongo fleva lakini najua kuwa kinachofanyika ni hawa jamaa wa clouds sio kulinda na kukuza wasanii na sanaa kwa ujumla wake bali wanaangalia wanapata nini huku wakisahau kuwa wao ni sehemu ndogo sana katika kuufanya muziki na sanaa viwe.
Na kama kweli nao walichangia kumdidimiza msanii ambaye itachukua muda kutokea katika eneo hili la dunia (japo bado yupo kwenye fani) Saida Kaloli, basi ni wazi laana zake na lady jaydee mwenyewe zitawakuta!
Alivyosema Sugu wakasema ni siasa sasa na huyu kaibuka na huenda tukaona wengine.
Hivi huyo wa tatu aliyesema anamsamehi ni nani!!!???


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…