Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa

hili ni jibu la jide kuhusu harakati za sugu via twitter.
"Usinitishe tafadhali, Sugu ni Sugu na mimi
ni Jide do not compare kila mtu
anajua maumivu yake.
Usilazimishe umoja wa wasanii"
hapa unaona kuna kitu kichwani kweli.
Hapa ninachoona wewe kichwani ndio hakuna kitu kabisa, uti wa mgongo tu ungalikutosha huna matumizi na ubongo.
Kuna ushahidi wa wao kusiliba zaidi ya maneno tu ya watu?

Kuna mshkaji yeyote kwenye kampuni yoyote ile anayetoa udhamini ambaye walim-lobby akafuta udhamini?
Na wewe mkubwa mzima unajitoa akili na kujidhalilisha bure, upuuzi wa Clouds wala hauhitaji ushahidi wa side B. Sitowasahau hawa mbwa kwenye uzinduzi wa Malalia no more show iliyofadhiliwa na wahisani mbele ya Rais wa nchi wakatoza kiingilio wahudhuriaji na kushusha heshima ya Rais kwamba anakumbatia wezi.

Nyani Ngabu hivi wewe kichwani mzima kweli? au una maslahi yepi na hili genge la Maharamia?
 

Acha kwakwaru we bwa'mdogo. Lete ushahidi.
 
Wanasema eti ni Sebastian Ndege kwan ndio mwenye ile Skylight Band ambayo imechukua wasanii wengi kutoka Machozi band ya lady Jaydee akiwepo Joniko Flawa ...............................

Dah,hii nayo mpya naisikia. Huyu bwana nimesoma nae intake moja sekondari na alikuwa mtu wa dini na mtaratibu sana! Seeeee!
 
Acha kwakwaru we bwa'mdogo. Lete ushahidi.
Kukaa kimya nako ni busara, haata pamoja kwamba wewe siyo verified user lakini unapaswa kulinda heshima ya ID yako, ni kichaa peke yake ndio anaweza kuhitaji ushahidi juu ya haya.

Sasa JD ni msanii mkubwa je unafahamu kwamba wasanii chipukizi bila kuwapa pesa Watangazaji wa Clouds nyimbo zao hazipigwi?

Tena wengine sasa ndio tumegunduwa kwamba kumbe Ruge si tatizo peke yako tatizo namba moja ni Kusaga swala ambalo hata Vinega hawakuwa wanalijuwa siri hii ndio ameifichuwa Jide, Kusaga ni mtu mbaya sana kwa kujionesha kwenye Public ni smart kumbe Ruge anatekeleza maelekezo ya Boss. so sad.
 
Kukaa kimya nako ni busara, haata pamoja kwamba wewe siyo verified user lakini unapaswa kulinda heshima ya ID yako, ni kichaa peke yake ndio anaweza kuhitaji ushahidi juu ya haya.

Kama kuomba ushahidi ni ukichaa basi mimi najivunia ukichaa wangu. Manake nakataa kuipamia treni kama nyie mlio na akili timamu mnavyofanya kijumla jumla bila hata kuhoji chochote.

Sasa JD ni msanii mkubwa je unafahamu kwamba wasanii chipukizi bila kuwapa pesa Watangazaji wa Clouds nyimbo zao hazipigwi?

Hao wasanii chipukizi wanaofanya au waliowahi kufanya hivyo ni akina nani? Na walimpa pesa mtangazaji yupi wa Clouds ili nyimbo zao zipigwe hapo kituoni? Na walitoa kiasi pesa kiasi gani, wapi, lini, na kwa njia gani (m-pesa, airtell money, max malipo, etc.)? Na wewe umejuaje yote hayo? Wewe ni mbongo fleva unayechipukia? Na ina maana Lady Jay D naye wakati anachipukia alitoa hiyo payola?

Tena wengine sasa ndio tumegunduwa kwamba kumbe Ruge si tatizo peke yako tatizo namba moja ni Kusaga

Mmegundia wewe na nani na lini mmeligundua hilo? Na ushahidi wenu uko wapi? Nipe ushahidi zaidi ya kwakwaru zako.

swala ambalo hata Vinega hawakuwa wanalijuwa siri hii ndio ameifichuwa Jide, Kusaga ni mtu mbaya sana kwa kujionesha kwenye Public ni smart kumbe Ruge anatekeleza maelekezo ya Boss. so sad.

Ushahidi uko wapi wa kuwa yeye ni mtu mbaya sana?
 
Watu mnaofungia akili zenu kabatini Kiranga ndio anawamudu. the best way ni kuignore porojo zako.

Hawa wote wanausoma ujinga wako.

There are currently 1950 users browsing this thread. (36 members and 1914 guests)

 
Last edited by a moderator:
Pole Jide mungu atakusimamia ..Mwanadamu ni nani hata akuangushe wewe
Endelea kufanya kazi kwa bidii na matunda utayaona


jide Mnafiki.
Na unvyomshauri amtumaini Mungu na ndie atakaemsaidia unajisumbua tu.
Jide anashiriki na mambo ya waganga na ushahidi alishatuonyesha kwenye kipindi chake cha Diary kuwa aliita mganga kwake na akampunga jini mahaba alilokuwa nalo.
 
Watu mnaofungia akili zenu kabatini Kiranga ndio anawamudu. the best way ni kuignore porojo zako.

Hawa wote wanausoma ujinga wako.

Kwanza acha kushobokea watu. Utakuja kuombwa visivyoombwa. Groupie mkubwa wewe.

Pili, hoja/maswali yangu hujajibu kabisa. Badala yake umeishia kushoboka na kunipatia orodha ya watu wanaouangalia huu uzi. Inahusu nini sasa na nilichokuuliza mimi?

Tatu, umeshindwa hata kuzi-ignore hizo unazoziita "porojo" zangu na umenijibu tena kwa kuninukuu mambo ambayo hata hayahusiani na maswali niliyokuuliza.

Halafu unakuwa na chutzpah ya kuhoji afya yangu ya akili. Umeishia darasa la ngapi wewe?

Haya jibu maswali yangu kama una ubavu.
 
Wanasema eti ni Sebastian Ndege kwan ndio mwenye ile Skylight Band ambayo imechukua wasanii wengi kutoka Machozi band ya lady Jaydee akiwepo Joniko Flawa ...............................
Ahaa nilizania ni Kibonde!
 
Jide mdogo wangu umechelewa sana kuamka... Wakati SUGU na VINEGA wanapiga kelele ulikuwa wapi.... Hao jamaa under CC.. ni wazulumaji mbaya sana


Hapo mimi ndipo napokaa tofauti na huyu Msichana.
Anasema hawa jamaa wameanza kumfanyia matendo maovu ten years back, then miaka takriban minne ilopita waliibuka wasanii wenzake na kuanza kulalamikia the same issue na anayoilalamikia yeye, je kwanini na yeye hakufungua mdomo wake na kutoa ya moyoni?
Silazimishi aungane na harakati za akina Sugu, but angefunguka na aseme haya anayoyasema sasa ingeongeza shinikizo na jamii ingeshtuka.

Kwa wenye kuamini wanasema penye wengi pana Mungu, sasa hii vita ya peke yake je atakuwa na Mungu?
 
hapa kuna mambo makubwa, lazima kuna tatizo, yamesikika sana haya malalamiko kwa muda mrefu, nitashangaa sana kuona uongozi wa radio tajwa umekaa kimya katika hili
 
Jide ni kilaza kukuzid wew?

Najua imekuuma but as a Superstar and Celebrite - hakutakiwa kabisa kabisa kuja na issue za namna hii kwenye media. I strongly believe amekosea sana na amajishushia heshima na hadhi kwa hii style. Hizi wafanye watoto watoto wanaoibukia sio Jide bana, she has passed hizi vitu jamani!

Anyway ni moano yangu though!
 
Hii statement ya huyu dada Judith imenisikitisha sana.
Nahisi kama hakuna ushauri wa mganga basi ni ushauri wa wale wachungaji wa siku hizi wanaopunga mashetani, wakijengea wateja wao kinyongo na watu wanaohusiana nao.
Utawajua tu,
- umelogwa na mama mkwe wako, au mjukuu kalogwa na bibi ndio sababu watoto wanakufa
- unafilisika kwa kuwa jirani zako wanakuonea wivu
- ofisini, au wafanyakazi wenzako wanataka usifanikiwe.
What a waste of emotions, Judith jitahidi kusahau, kama ni fact. Endelea mbele kama ulivyosema mwenyewe hawawezi kukuzibia, sasa kwa nini ujitese kwa VIAPO?
unajiwekea mipaka mwenyewe, waache tu watagundua,

wakati wote kabla ulinifanya nihisi kama busara zaidi. Kumbe na wewe kipimo chako cha kufikia kuweka kinyongo cha maisha ni haya mambo.
Mbona kama ni kweli una kipaji, basi utaweza tu?
kama ni kweli umesema haya reverse your statements. Waache wahangaike na upuuzi wao au ubaya wao.
 

............mie naona huyo nyani ngabu anatafuta ligi tu !!:argue:
 

....mkuu unajua kupigwa vita au unachukulia poa !.........unajua kuwa hawa wana studio iliyofadhiliwa na serikali ?
unaikumbuka vita ya vinega ambayo ilizimwa na Nchimbi kwa kuwapatanisha Sugu na Ruge?
 

......hata Reginald Mengi alipozidiwa vita ya Mafisadi Papa ilimbidi aimwage hadharani. unakumbuka akina Sophia Simba walivyotetea !?:drum:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…