Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa

safi sana jyde hakuna kuchoka kusema na hawata kufunga mdomo kamwe. hakika wengine watasema ulikuwa wapi siku zote lakini wakati ndio sasa. hawa wanyonyaji hiyo ndiyo dawa yao na hautoshuka kamwe.
 

...............umeng'ang'ana na ushahidi utafdikiri DPP !?:doh:
 
Mtu hataki kupiga Nyimbo zako kwenye Radio yake tatizo nini? Ingekuwa ishu kama Ruge angekuwa kwenye Kituo cha serikal labda tungesema kuna Kodi zetu? Mbona kuna Radio nyingi hazipig nyimbo zake lakin halalmiki, analalamika kuwa baada ya Show alilipwa laki nane jee Mkataba ulikiukwa au alipanda kishkaji bila ya makubaliano? Kama mkataba ulikiukwa aende kwenye vyombo vya sheria kama alipanda kishkaj huo ni upum.bav wake!
 
......hata Reginald Mengi alipozidiwa vita ya Mafisadi Papa ilimbidi aimwage hadharani. unakumbuka akina Sophia Simba walivyotetea !?:drum:

Bro, nakuelewa sana, issue yangu wala si hiyo vita, i dont know hizo vurugu za yeye na hao watu. Issue yangu ni hiyo STYLE na maneno aliyoyatumia. Hapana, She is Greater than hayo maneno ya kulaani, sijui wosia etc ambapo yanmwondolea a lot of points kwenye jamii ukizingatia umaarufu wake!
 
...............umeng'ang'ana na ushahidi utafdikiri DPP !?:doh:
Afadhali ya DPP, huyu ni kama Madam Supika anaambiwa Waziri Mkuu amelidanganya Bunge oohh lete ushaidi, anapelekewa ushahidi anaukalia na kuumbuka. Ila siwezi kumshangaa sana Nyani hawezi kuwa sawa na binadamu na anajulikana vyema kama karani wa Clouds Media hapa JF haijawahi kutokea thread ya Clouds hapa umkose Nyani huyu.
 
Nilidhani kina ruge wangejibu jana ileile wapi wamenyamaza kama hamna kilichotokea! Makubwa, madogo yana nafuu
 


Umeandika madini matupu...
Hakika wewe sio mkurupukaji
 
Clouse ruge na kusaga ukandamizaji na unyonyaji wenu unakaribia kama unavyokaribia wa ccm. Dada wa watu kavumilia miaka yote kumi ili nyie kwakuwa na chuki za kike mnazidi kumwandama, sasa hapa mwanamke atakuwa nyie ama huyu dada mmekuwa na kinyongo zaidi ya wanawake ambao ndo tumewazoea. Sitojutia kusema hamna tofauti na wanyonyaji wa kikoloni na naamini uwepo wa Mungu ukweli, haki na riziki ya mtu itakuwa pale pale na mtaumbuka siku moja
 
ngoja mtoto wa mjini Putin aje atupe kilichomo ndani ya hili sakata...
PUTIN ni kiboko ya wakurupukaji
 
ngoja mtoto wa mjini Putin aje atupe kilichomo ndani ya hili sakata...
PUTIN ni kiboko ya wakurupukaji

Huyo dada Anatafuta Huruma ya watu Hana lolote Mnafiki tuu,Wakati yeye Anabebwa Katoa Album nzima anamzungumzia mwanaume mmoja na Nyimbo zake Zinapigwa Mbona hakukataa Aseme STARA THOMAS alistahili kuliko yeye? Leo kafulia Bendi imeporomoka Anakuja kupiga kelele tumuhurumie? Akapambane mwenyewe.
 
Na Ukweli Ishu hii huyu Dada kaigeuza Ishu kaianzisha Eti Jamaa hawapigi Nyimbo zake..... Ishu huyu dada Kachukuliwa Wanamuziki wake na Bendi ya SKAY LIGHT na ile bendi ilijitangaza sana ktk Kituo Icho cha radio ndipo Chuki iliianza coz Nyimbo yake Mbaya stili ilikuwa Inapigwa..... Anageuza Ishu Ooh wanapiga nyimbo za Wasanii wao! Izo nyimbo za Wasanii wao km co nzuri Kawafuata wa nini wafanye show kwenye show yake ya miaka 13? Kachanganyikiwa huyo dada muacheni.
 


Hah hah haaah haaah lete utamu...
Wazalamo wanasema ''CHAMLAGO KIDALA, MELA MATE UGONE''...sasa yeye sijui anang'ang'ania nini?
 


Kuuuumbeeeeeee....
Ok twende kazi Putin...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…