Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,650
Ushahidi ndo kila kitu majungu si kitu.
........yeye mwenyewe Jide analalamikia majungu, .......sasa sijui unazungumzia nini ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushahidi ndo kila kitu majungu si kitu.
........yeye mwenyewe Jide analalamikia majungu, .......sasa sijui unazungumzia nini ?
hahahahahahahHata kama kayatoa kwenye ini ukweli ni kwamba upande wa pili bado haujafunguka hadharani hivyo hatuwezi kutoa mtazamo wenye uwiano mzuri.
Ushahidi ndo kila kitu majungu si kitu.
Kama kuomba ushahidi ni ukichaa basi mimi najivunia ukichaa wangu. Manake nakataa kuipamia treni kama nyie mlio na akili timamu mnavyofanya kijumla jumla bila hata kuhoji chochote.
Hao wasanii chipukizi wanaofanya au waliowahi kufanya hivyo ni akina nani? Na walimpa pesa mtangazaji yupi wa Clouds ili nyimbo zao zipigwe hapo kituoni? Na walitoa kiasi pesa kiasi gani, wapi, lini, na kwa njia gani (m-pesa, airtell money, max malipo, etc.)? Na wewe umejuaje yote hayo? Wewe ni mbongo fleva unayechipukia? Na ina maana Lady Jay D naye wakati anachipukia alitoa hiyo payola?
Mmegundia wewe na nani na lini mmeligundua hilo? Na ushahidi wenu uko wapi? Nipe ushahidi zaidi ya kwakwaru zako.
Ushahidi uko wapi wa kuwa yeye ni mtu mbaya sana?
majungu bila ushahidi ni uzushi
...............umeng'ang'ana na ushahidi utafdikiri DPP !?:doh:
......hata Reginald Mengi alipozidiwa vita ya Mafisadi Papa ilimbidi aimwage hadharani. unakumbuka akina Sophia Simba walivyotetea !?:drum:
Afadhali ya DPP, huyu ni kama Madam Supika anaambiwa Waziri Mkuu amelidanganya Bunge oohh lete ushaidi, anapelekewa ushahidi anaukalia na kuumbuka. Ila siwezi kumshangaa sana Nyani hawezi kuwa sawa na binadamu na anajulikana vyema kama karani wa Clouds Media hapa JF haijawahi kutokea thread ya Clouds hapa umkose Nyani huyu................umeng'ang'ana na ushahidi utafdikiri DPP !?:doh:
huyu mwanamke ni mnafiki sana.
Mtu hataki kupiga Nyimbo zako kwenye Radio yake tatizo nini? Ingekuwa ishu kama Ruge angekuwa kwenye Kituo cha serikal labda tungesema kuna Kodi zetu? Mbona kuna Radio nyingi hazipig nyimbo zake lakin halalmiki, analalamika kuwa baada ya Show alilipwa laki nane jee Mkataba ulikiukwa au alipanda kishkaji bila ya makubaliano? Kama mkataba ulikiukwa aende kwenye vyombo vya sheria kama alipanda kishkaj huo ni upum.bav wake!
ngoja mtoto wa mjini Putin aje atupe kilichomo ndani ya hili sakata...
PUTIN ni kiboko ya wakurupukaji
Huyo dada Anatafuta Huruma ya watu Hana lolote Mnafiki tuu,Wakati yeye Anabebwa Katoa Album nzima anamzungumzia mwanaume mmoja na Nyimbo zake Zinapigwa Mbona hakukataa Aseme STARA THOMAS alistahili kuliko yeye? Leo kafulia Bendi imeporomoka Anakuja kupiga kelele tumuhurumie? Akapambane mwenyewe.
Na Ukweli Ishu hii huyu Dada kaigeuza Ishu kaianzisha Eti Jamaa hawapigi Nyimbo zake..... Ishu huyu dada Kachukuliwa Wanamuziki wake na Bendi ya SKAY LIGHT na ile bendi ilijitangaza sana ktk Kituo Icho cha radio ndipo Chuki iliianza coz Nyimbo yake Mbaya stili ilikuwa Inapigwa..... Anageuza Ishu Ooh wanapiga nyimbo za Wasanii wao! Izo nyimbo za Wasanii wao km co nzuri Kawafuata wa nini wafanye show kwenye show yake ya miaka 13? Kachanganyikiwa huyo dada muacheni.