Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Eti Wasanii waungane..... Yule na Mumewe C walimfukuza SAM MACHOZI kwenye bar yao Nyumbabi Lounge pale alikwenda kuangalia Mpira Utd na Chelsea? Walimfukuza atoke pale! Kisa Kahama bendi yao Kahamia sky light band? Mnafki tuu huyo dada Watamuhurumia Wasiomjua.
Eti Wasanii waungane..... Yule na Mumewe C walimfukuza SAM MACHOZI kwenye bar yao Nyumbabi Lounge pale alikwenda kuangalia Mpira Utd na Chelsea? Walimfukuza atoke pale! Kisa Kahama bendi yao Kahamia sky light band? Mnafki tuu huyo dada Watamuhurumia Wasiomjua.
Heri yangu mie niliyeng'ang'ania ushahidi kuliko nyie mliopamia uzushi.
...........Unao ushahidi kuonyesha huo ni uzushi !?
Eti Clouds inawanyonya Wasanii Yeye kwenye ile bendi ana walipa Kina MAO STANTIAGO kinachostahili? Akapambane mwenyewe kalikoroga Alinywe Asitafute Huruma za watu.
Ndiyo ninao
Haya ulete hapa niulinganishe na huu wangu !
Afadhali ya DPP, huyu ni kama Madam Supika anaambiwa Waziri Mkuu amelidanganya Bunge oohh lete ushaidi, anapelekewa ushahidi anaukalia na kuumbuka. Ila siwezi kumshangaa sana Nyani hawezi kuwa sawa na binadamu na anajulikana vyema kama karani wa Clouds Media hapa JF haijawahi kutokea thread ya Clouds hapa umkose Nyani huyu.
Nielete wapi tena wakati uko hapa hapa kuanzia ukurasa wa kwanza?
Kushindwa kwenu kutoa ushahidi wa madai yenu ndo ushahidi wangu wa uzushi wenu.
Kushindwa kwako kuleta ushahidi wa maelezo yake kuyaita uzushi, ndio ushahidi wa kuonyesha huna ushahidi !
Her music sucks, man! Plus she's ugly!
....Santiago Mao, aliwahi kuja kuhemea kwako !?
.....HapanaInaweza kuwa I'd ya Kibonde nini ?
.....Hapana
Yasemekana huyu bwana ni mkimbizi wa kiuchumi ambaye amezamia kwa Obama, ila inaonesha ni shoga yake.