Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa

Kumbe hii thread imebeba ujumbe mzito namna hii, walengwa nadhani ujumbe umeshawafikia. Kama kuna jinsi ya kukaa na kutatua hili tatizo, fanyeni hivyo.
 
Eti Wasanii waungane..... Yule na Mumewe C walimfukuza SAM MACHOZI kwenye bar yao Nyumbabi Lounge pale alikwenda kuangalia Mpira Utd na Chelsea? Walimfukuza atoke pale! Kisa Kahama bendi yao Kahamia sky light band? Mnafki tuu huyo dada Watamuhurumia Wasiomjua.
 
Hivi Clouds ndio huwa wanaandaa Birthday za Kikwete siyo? Mh! Yelelee....Ambaaa!
 
Eti Wasanii waungane..... Yule na Mumewe C walimfukuza SAM MACHOZI kwenye bar yao Nyumbabi Lounge pale alikwenda kuangalia Mpira Utd na Chelsea? Walimfukuza atoke pale! Kisa Kahama bendi yao Kahamia sky light band? Mnafki tuu huyo dada Watamuhurumia Wasiomjua.

funguka Putin
 
Eti Clouds inawanyonya Wasanii Yeye kwenye ile bendi ana walipa Kina MAO STANTIAGO kinachostahili? Akapambane mwenyewe kalikoroga Alinywe Asitafute Huruma za watu.
 
Huyo mnafiki alifuata nini ?....game ilikuwa inaonyesha hapo hapo lounge !?
 
Eti Clouds inawanyonya Wasanii Yeye kwenye ile bendi ana walipa Kina MAO STANTIAGO kinachostahili? Akapambane mwenyewe kalikoroga Alinywe Asitafute Huruma za watu.

....Santiago Mao, aliwahi kuja kuhemea kwako !?
 
Afadhali ya DPP, huyu ni kama Madam Supika anaambiwa Waziri Mkuu amelidanganya Bunge oohh lete ushaidi, anapelekewa ushahidi anaukalia na kuumbuka. Ila siwezi kumshangaa sana Nyani hawezi kuwa sawa na binadamu na anajulikana vyema kama karani wa Clouds Media hapa JF haijawahi kutokea thread ya Clouds hapa umkose Nyani huyu.

Inaweza kuwa I'd ya Kibonde nini ?
 
Nielete wapi tena wakati uko hapa hapa kuanzia ukurasa wa kwanza?

Kushindwa kwenu kutoa ushahidi wa madai yenu ndo ushahidi wangu wa uzushi wenu.

Kushindwa kwako kuleta ushahidi wa maelezo yake kuyaita uzushi, ndio ushahidi wa kuonyesha huna ushahidi !
 
Acha kuniiga wewe. Nyie mmetoa tuhuma dhidi ya Clouds. Sasa tuhuma bila ushahidi ni uzushi.

Mwenzio yule Matola kala kona. Kayakwepa kabisa maswali yangu. Wewe naye unataka kunigeuzia kibao mimi eti ndiyo nitoe ushahidi kama vile mimi ndiye nawatuhumu Clouds.

Wa wapi wewe?
 
Back
Top Bottom