Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa

Hata kuondoka kwa Gadner wenye kuona mbali tuliona kuna Shida Kaamua kuondoka kiistaarabu, na ndo jinsi wengine tusiopenda makelele tunavofanya, mana hebu ona hivi tu Jide kaongea hivi yani ni vita left right and center ni lazima ujipange kwanza! Najua Jide kuongelea hivi imemuuma kwa sababu wanaomfanyia haya na bwanaake ni watu ambao hakutarajia maishani! Alitegemea wawe ni watu wake wa karibu lakini sivo! Let me tell you guys! Mtu ambae ulikuwa unampenda akikutenda maumivu yake na chuki inayokuja ni mbaya kuliko ya mtu ambae alikuwa wa kawaida Kwako na ni rahisi kumsamehe! And the viseversa is true, yani wakiyamaliza watapendana na kuheshimiana daima! Kwa clouds they need to change! Nawaombea wayamalize haya kwa Amani ya Moyo wa Jide! Jide we love you unapendwa na watanzania Hilo halina ubishi! Naomba mwenyezi Mungu akupe Amani ya Moyo!
 
Mie mnanichefua mnaomuomba Mungu amsaidie huyu binti.
Huyo binti msaada wake ni waganga wa kienyeji.
Na alishatuonesha kwenye kipindi chake cha Diary...
Mshirikina huyo.
Pus malakadina...
 
Amewaambia amekaa silence miaka kumi
 
Amewaambia amekaa silence miaka kumi

SKIA WE KITUMBUA...
AMESEMA HIVI...
''Niliamua kujiepusha nao miaka mingi na
kufanya biashara zangu, nimekaa kimya
watu wanafikiri nabebwa lakini sijabebwa
chochote sikutaka ugomvi haya mambo
yalianza baada ya Album yangu ya pili ya
Binti mwaka 2003 nilipojitoa Smooth Vibes chini ya Ruge.
Nilivumilia fitna nikiamini ipo siku
yatakwisha lakini naona moto ndio unazidi
kuwaka''....

SASA KWA AKILI YAKO KUTOKA ALIPOAMUA KUKAA KIMYA MWAKA 2003 MPAKA MWAKA HUU 2013 JE NI MIAKA MINGAPI?
FORM FOUR WA MAMA NDALICHAKO UTAWAJUWA TU.
MCHANA KWEUPEE MIUDENDA INAKUCHURUZIKA.
 
Sometimes inakuwa ngumu kurudisha mashambulizi kama kitu unachotuhumiwa ni cha kweli. Dhamira humshitraki mhusika. Kuna thread ipo hapa inayohusu ugomvi wa Ruge na Sugu (ina videos za majibishano), sura ya Ruge kwenye mjadala ilikuwa inaonesha hatia kabisa, hata kuongea na kujitetea hawezi kabisa.
 
Melezo meeeeeengi.... Ushuzi mtupu! Co lzm kila mtu achangie.
 
Yaani JIDE kujiapiza na hawa jamaa wa Clouds ni dhahiri unaonesha jinsi ambavyo hupendi kuonewa na kuendeshwa na hiki kitengo cha Propaganda na Udaku cha Clouds.....BIG UP JIDE
 
Melezo meeeeeengi.... Ushuzi mtupu! Co lzm kila mtu achangie.
Ushuzi ni wewe hapo! Umeonyesha upeo wako ulivo Mdogo au ndo nyienyie manaotoka left right and centre!! Imagine mpaka mtu anatype 'vutumbua' duh mna kazi kwelikweli!! Ndo mana nimeingia hapa sijamquote mtu!! Nimetoa maoni yangu nionavyo Mimi ninajiamini sana kwa kuiambia eti watu wengine bora wasichangie umedhihirisha kuwa either we ni hater tu wa Jide mana hunijui! AMA la upeo wako Mdogo sana kuelewa kitu nachoongea mtu Kama Mimi! Imekuuma ee? Duh!
 
Yaani JIDE kujiapiza na hawa jamaa wa Clouds ni dhahiri unaonesha jinsi ambavyo hupendi kuonewa na kuendeshwa na hiki kitengo cha Propaganda na Udaku cha Clouds.....BIG UP JIDE

Cku zote alikuwa wapi? Miaka 10 sasa..... Mnafki tuu huyo Mwambieni atulie Aunde pendi upya awalipe vzr kinachostahili Wanamuziki wake!
 
Haya mpumbavu, lakini haiondei maana kuwa Kusaga ni kupe
 
Futa mipovu iyo mdomoni Nenda Jukwaa lako la Mapishi Huna unalojua wewe.
 
Melezo meeeeeengi.... Ushuzi mtupu! Co lzm kila mtu achangie.

Mimi naamini tukiona mtu anaanza kutukana na kutoa kashifa na tukizingatia ni above18 basi bila shaka hoja zime kwisha na kabakiza viroja na matusi.

Putin weka hoja acha maneno yasiyo na maana una haribu uzi na unaonesha kushindwa mapema.
 
Last edited by a moderator:
Futa mipovu iyo mdomoni Nenda Jukwaa lako la Mapishi Huna unalojua wewe.

Nimekwmbia putin weka hoja acha maneno yasiyo faaa una haribu thread.
 
Cku zote alikuwa wapi? Miaka 10 sasa..... Mnafki tuu huyo Mwambieni atulie Aunde pendi upya awalipe vzr kinachostahili Wanamuziki wake!

hivi kwa kuwa alichelewa kusema ndio asiseme?
 
Mtu hakombolewi ila anajikomboa, muda wa jay dee kujikomboa ndio huu.Ukweli utabaki kuwa ukweli hata kama ungesemwa miaka 10 iliyopita. Sugu mwenyewe alisariti mapambano na hadi leo hana jibu la msingi kuhusu mapatano yake na ruge.Vitu alivyokuwa akivipigania bado vipo vilevile.
 
Mimi naamini tukiona mtu anaanza kutukana na kutoa kashifa na tukizingatia ni above18 basi bila shaka hoja zime kwisha na kabakiza viroja na matusi.

Putin weka hoja acha maneno yasiyo na maana una haribu uzi na unaonesha kushindwa mapema.

Nyie ndo nilikuwa nawatafuta Mnaokurupuka..... Umefuatilia Comment zangu zote khs hii Ishu? Tulia futa mikamasi na udenda huo Soma moja moja ndo utajua na hoja au sina na km nahoja tafadhari Uzijibu! Sio unakurupuka tuu JIBU hoja? Hoja ipi? Zangu zimejibiwa?
 
Last edited by a moderator:
Mimi naamini tukiona mtu anaanza kutukana na kutoa kashifa na tukizingatia ni above18 basi bila shaka hoja zime kwisha na kabakiza viroja na matusi.

Putin weka hoja acha maneno yasiyo na maana una haribu uzi na unaonesha kushindwa mapema.

Need I say more? Thanks Rutta. . . Go Jide! It's never too late! It was not possible to speak before ni sawa kaongea sasa! Tunatakiwa tufanye vile tunaona ni sawa na si vinginevyo! Hata Jide hajaamasisha wengine waachane na kina kusaga sasa waambatane nae ni vile wataona Kama ni wakati muafaka!
 
Look who is saying uzijibu! Na vipi unaparamia za wenzio? Confused rat!
 
Acha kuongea vitu usivyovijua NO data NO right to speak...... Ishu co kumnyonya uyo BIBI ishu hapa ni kuporomoka kwa bendi yake na bendi nyingine kujitangaza zaidi ktk Kituo Icho Ila msioweza kufikiri huyo Bibi ndo anawateka na kuigeuza Ishu! Kipindi Gadna wakati yupo pale Alikuwa anapiga nyimbo za Mkewe zaidi ya 3 na hata Kaondoka km Msikilizaji wa redio iyo nyimbo yake Joto hasira Imepigwa sana,na huyo Gadna una habari Alikuwa anataka kurudi pale? Muulizeni huyo BIBI vzr hoja zake ni nini KUTOPIGWA NYIMBO,KUNYONYWA au BENDI NYINGINE KUPATA PROMO ZAIDI YAKE?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…