Twande
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 543
- 174
Hata kuondoka kwa Gadner wenye kuona mbali tuliona kuna Shida Kaamua kuondoka kiistaarabu, na ndo jinsi wengine tusiopenda makelele tunavofanya, mana hebu ona hivi tu Jide kaongea hivi yani ni vita left right and center ni lazima ujipange kwanza! Najua Jide kuongelea hivi imemuuma kwa sababu wanaomfanyia haya na bwanaake ni watu ambao hakutarajia maishani! Alitegemea wawe ni watu wake wa karibu lakini sivo! Let me tell you guys! Mtu ambae ulikuwa unampenda akikutenda maumivu yake na chuki inayokuja ni mbaya kuliko ya mtu ambae alikuwa wa kawaida Kwako na ni rahisi kumsamehe! And the viseversa is true, yani wakiyamaliza watapendana na kuheshimiana daima! Kwa clouds they need to change! Nawaombea wayamalize haya kwa Amani ya Moyo wa Jide! Jide we love you unapendwa na watanzania Hilo halina ubishi! Naomba mwenyezi Mungu akupe Amani ya Moyo!
