KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
- Thread starter
-
- #341
Acha ujinga. Ndo nyie mnaohoji walikua wapi kuchinja miaka yote. Uvumilivu na dharau zikizidi mtu hufunguka.Cku zote alikuwa wapi? Miaka 10 sasa..... Mnafki tuu huyo Mwambieni atulie Aunde pendi upya awalipe vzr kinachostahili Wanamuziki wake!
Nyie ndo nilikuwa nawatafuta Mnaokurupuka..... Umefuatilia Comment zangu zote khs hii Ishu? Tulia futa mikamasi na udenda huo Soma moja moja ndo utajua na hoja au sina na km nahoja tafadhari Uzijibu! Sio unakurupuka tuu JIBU hoja? Hoja ipi? Zangu zimejibiwa?
Acha kuongea vitu usivyovijua NO data NO right to speak...... Ishu co kumnyonya uyo BIBI ishu hapa ni kuporomoka kwa bendi yake na bendi nyingine kujitangaza zaidi ktk Kituo Icho Ila msioweza kufikiri huyo Bibi ndo anawateka na kuigeuza Ishu! Kipindi Gadna wakati yupo pale Alikuwa anapiga nyimbo za Mkewe zaidi ya 3 na hata Kaondoka km Msikilizaji wa redio iyo nyimbo yake Joto hasira Imepigwa sana,na huyo Gadna una habari Alikuwa anataka kurudi pale? Muulizeni huyo BIBI vzr hoja zake ni nini KUTOPIGWA NYIMBO,KUNYONYWA au BENDI NYINGINE KUPATA PROMO ZAIDI YAKE?
Ndugu yangu hata kama ulianzia mbali hilo halisaidii maana bado unaendelea kutukana na kama uliona hoja zako azijibiwi kwa hiyo suluhu ni matusi?
hebu tuthibitishie hizo tuhuma za jyde ni uongo. kumuita bibi hakuto batilisha ukweli na alicho sema.kama umesoma wosia wake vizuri usinge uliza maswali hayo na umeshindwa kjua jambo moja uzaa lingine.
Mi cjataka mtu hajibu Hoja zangu Ila wewe Ulieniambia Nijibu Hoja ndo nimekuuliza.
Acha ujinga. Ndo nyie mnaohoji walikua wapi kuchinja miaka yote. Uvumilivu na dharau zikizidi mtu hufunguka.
ok kuwa kwanza kututhibitishia jyde ana sema uongo na ana wasingizia.
madhaifu ya jyde yasifanye ruge aonekane hana kosa
Nielete wapi tena wakati uko hapa hapa kuanzia ukurasa wa kwanza?
Kushindwa kwenu kutoa ushahidi wa madai yenu ndo ushahidi wangu wa uzushi wenu.
Hata cjui Umejisajili sajili vipi Humu Ukapokelewa Mtu mwenye Uwezo mdg wa kufikiri kiasi Icho! C muendelelee kule facebook? Na Ntatoa Hoja Binafsi humu Tufute watu wote humu tunanze kusajili Upya...... naapa kuna watu km nyinyi hamtarudi tena humu.
Hata cjui Umejisajili sajili vipi Humu Ukapokelewa Mtu mwenye Uwezo mdg wa kufikiri kiasi Icho! C muendelelee kule facebook? Na Ntatoa Hoja Binafsi humu Tufute watu wote humu tunanze kusajili Upya...... naapa kuna watu km nyinyi hamtarudi tena humu.
Ndugu yangu hata kama ulianzia mbali hilo halisaidii maana bado unaendelea kutukana na kama uliona hoja zako azijibiwi kwa hiyo suluhu ni matusi?
Hahaha! Moja ya Malalamiko yake yalikuwa "Redio ya Watu Inayopiga nyimbo za Wasanii wao zisizopendwa na Watu" Ktk maadhimisho ya show yake ya Miaka 13 ... Wasanii watakao kuwepo ni pamoja na Linna/Barnaba...... Najiuliza hizi nyimbo za hawa Wasanii wasiopendwa na Watu Kaenda kuwachukua wa nini tena Wakati Wapo Kina ZEIB,CHIKU KETO,MB DOGY,SISTER P..... Kwanini asiwachukue hawa wenye nyimbo zinazopendwa na watu wasindikize show yake.
Tehe tehe yani kuna wa2 wameahidiwa kaz Clouds FM sa tabu 2pu humu ndan yan m2 akicomment anavyoona kwa mtizamo wake anashikiliwa bango,afu M2 anajifanya anajua background ya m2 kumbe hamna k2.we toa hoja yako wa2 watakuelewa so unageuka ka agent wa Clouds bhana afu uzur wa JF hakunaga cfa ka FB.kla m2 ana uhuru wa kuongea kulingana na mtazamo wake