Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa

Cku zote alikuwa wapi? Miaka 10 sasa..... Mnafki tuu huyo Mwambieni atulie Aunde pendi upya awalipe vzr kinachostahili Wanamuziki wake!
Acha ujinga. Ndo nyie mnaohoji walikua wapi kuchinja miaka yote. Uvumilivu na dharau zikizidi mtu hufunguka.
 
Nyie ndo nilikuwa nawatafuta Mnaokurupuka..... Umefuatilia Comment zangu zote khs hii Ishu? Tulia futa mikamasi na udenda huo Soma moja moja ndo utajua na hoja au sina na km nahoja tafadhari Uzijibu! Sio unakurupuka tuu JIBU hoja? Hoja ipi? Zangu zimejibiwa?

Ndugu yangu hata kama ulianzia mbali hilo halisaidii maana bado unaendelea kutukana na kama uliona hoja zako azijibiwi kwa hiyo suluhu ni matusi?
 
Acha kuongea vitu usivyovijua NO data NO right to speak...... Ishu co kumnyonya uyo BIBI ishu hapa ni kuporomoka kwa bendi yake na bendi nyingine kujitangaza zaidi ktk Kituo Icho Ila msioweza kufikiri huyo Bibi ndo anawateka na kuigeuza Ishu! Kipindi Gadna wakati yupo pale Alikuwa anapiga nyimbo za Mkewe zaidi ya 3 na hata Kaondoka km Msikilizaji wa redio iyo nyimbo yake Joto hasira Imepigwa sana,na huyo Gadna una habari Alikuwa anataka kurudi pale? Muulizeni huyo BIBI vzr hoja zake ni nini KUTOPIGWA NYIMBO,KUNYONYWA au BENDI NYINGINE KUPATA PROMO ZAIDI YAKE?

hebu tuthibitishie hizo tuhuma za jyde ni uongo. kumuita bibi hakuto batilisha ukweli na alicho sema.kama umesoma wosia wake vizuri usinge uliza maswali hayo na umeshindwa kjua jambo moja uzaa lingine.
 
Ndugu yangu hata kama ulianzia mbali hilo halisaidii maana bado unaendelea kutukana na kama uliona hoja zako azijibiwi kwa hiyo suluhu ni matusi?

Mi cjataka mtu hajibu Hoja zangu Ila wewe Ulieniambia Nijibu Hoja ndo nimekuuliza.
 
Hata cjui Umejisajili sajili vipi Humu Ukapokelewa Mtu mwenye Uwezo mdg wa kufikiri kiasi Icho! C muendelelee kule facebook? Na Ntatoa Hoja Binafsi humu Tufute watu wote humu tunanze kusajili Upya...... naapa kuna watu km nyinyi hamtarudi tena humu.
 
ok kuwa kwanza kututhibitishia jyde ana sema uongo na ana wasingizia.

madhaifu ya jyde yasifanye ruge aonekane hana kosa
 
Acha ujinga. Ndo nyie mnaohoji walikua wapi kuchinja miaka yote. Uvumilivu na dharau zikizidi mtu hufunguka.

Ona sasa! Unazungumzia Kuchinja...... Ebana hapa ni Celebrate forum! Kuna watu Wazito jmn dah!
 
ok kuwa kwanza kututhibitishia jyde ana sema uongo na ana wasingizia.

madhaifu ya jyde yasifanye ruge aonekane hana kosa

Judith ni Muongo.... Nyimbo zake zimepigwa sana mimi Msikilizaji wa redio nimezisikia mara nyingi sana.
 
Nielete wapi tena wakati uko hapa hapa kuanzia ukurasa wa kwanza?

Kushindwa kwenu kutoa ushahidi wa madai yenu ndo ushahidi wangu wa uzushi wenu.

mdau umechachamaa kuitetea clouds,,,hongera sana,tangu day 1 umo tu kuipamba
 
Hahaha! Moja ya Malalamiko yake yalikuwa "Redio ya Watu Inayopiga nyimbo za Wasanii wao zisizopendwa na Watu" Ktk maadhimisho ya show yake ya Miaka 13 ... Wasanii watakao kuwepo ni pamoja na Linna/Barnaba...... Najiuliza hizi nyimbo za hawa Wasanii wasiopendwa na Watu Kaenda kuwachukua wa nini tena Wakati Wapo Kina ZEIB,CHIKU KETO,MB DOGY,SISTER P..... Kwanini asiwachukue hawa wenye nyimbo zinazopendwa na watu wasindikize show yake.
 
Mbona wakati Sugu akitoa tuhuma amkutaka ushahidi, ukwel una kawaida ya kujisimamia haijalishi nani anaongea.
 
Malalamiko na tuhuma anazotoa Jay Dee(Anaconda) si mpya kwani zilishazungumzwa sana, zimeimbwa na kitabu zikatungiwa. Kama unataka ushahidi upo kwenye maandishi. Katafute FROM STREET TO PARLIAMENT.
 
Hata cjui Umejisajili sajili vipi Humu Ukapokelewa Mtu mwenye Uwezo mdg wa kufikiri kiasi Icho! C muendelelee kule facebook? Na Ntatoa Hoja Binafsi humu Tufute watu wote humu tunanze kusajili Upya...... naapa kuna watu km nyinyi hamtarudi tena humu.

calm down hayan maneno yako hayato saidia chochote nimepitia post zako zote hakuna ulipo thibitisha kuwa jyde ana sema uongo zaidi ya wewe kutoa tuhuma kwake badala ya kuthibitisha kuwa ana sema uongo.uzuri mimi na tetemeshwa na hoja za msingi na wala si kibehi na dharau kama unavyo onesha.

Narudia tena uthibitishe kuwa jyde ana sema uongo.

kumbuka tuhuma azikanushwi kwa tuhuma wala vijembe, kebehi na dharau.

karibu mr Putin umwage ushahidi wako si tuhuma zako ni na uhakika hata Ruge akihamua kujibu hizi tuhuma atojibu kwa style ya kutoa tuhuma bali kuthibitisha kuwa tuhuma hizi si za kweli.
Kama umeahamua kumsaidia basi msaidie kweli lakini si kusema kuwa jyde awalipi wanamusic wake vizuri ndio kujibu tuhuma zinazo wakabili.
 
Last edited by a moderator:

Mapovu yako yamefanya nipitie huko Nyuma na kugundua kuwa kumbe zile negative comments ni zako tu mi nilijua ni watu tofauti tunaopishana nao mawazo kumbe ni mtu moja wawili! na huyo wa pili I guess is your second Id mana mapovu yanafanana! Na hampaswi hata kuwambia wenzenu wanatoa mapovu wakati nyie/wewe ndo umepanick! Badala ya Kutoa hoja mnatoa maiale ya moto kihaterhater tu! you just wish angekuwa ndo yeye Jide mnamconfront! Seriously you must be one from that cycle!
 
Ndugu yangu hata kama ulianzia mbali hilo halisaidii maana bado unaendelea kutukana na kama uliona hoja zako azijibiwi kwa hiyo suluhu ni matusi?

Matusi JF si angekuwa ashapigwa BAN?
Twendeni kwenye meza na tupeane majibu ya hili sakata.
Kwa kuanza basi Ruttashobolwa hebu eleza ni kitu gani unachompinga Putin?
 
Hahaha! Moja ya Malalamiko yake yalikuwa "Redio ya Watu Inayopiga nyimbo za Wasanii wao zisizopendwa na Watu" Ktk maadhimisho ya show yake ya Miaka 13 ... Wasanii watakao kuwepo ni pamoja na Linna/Barnaba...... Najiuliza hizi nyimbo za hawa Wasanii wasiopendwa na Watu Kaenda kuwachukua wa nini tena Wakati Wapo Kina ZEIB,CHIKU KETO,MB DOGY,SISTER P..... Kwanini asiwachukue hawa wenye nyimbo zinazopendwa na watu wasindikize show yake.

Bwah hah hah hah haaaaah
 
Tehe tehe yani kuna wa2 wameahidiwa kaz Clouds FM sa tabu 2pu humu ndan yan m2 akicomment anavyoona kwa mtizamo wake anashikiliwa bango,afu M2 anajifanya anajua background ya m2 kumbe hamna k2.we toa hoja yako wa2 watakuelewa so unageuka ka agent wa Clouds bhana afu uzur wa JF hakunaga cfa ka FB.kla m2 ana uhuru wa kuongea kulingana na mtazamo wake
 
Hivi Unaweza Ongelea background ya mtu Humjui? Jibu hoja co kumtetea huyo BIBI.
 
"Tangu niachane na fiesta nilipolipwa laki 8 mara ya mwisho na Kuamua kuunda Bendi ili nijiajiri na kupata show zangu mwenyewe Ikafanikiwa sana Jambo ambalo LIMEWAUMA na KUAMUA KUFANYA KITU CHA KUIANGUSHA BAND yangu"...... Hayo maneno Herufi kubwa JD ndipo aliposema ukweli kuhusu Ugomvi na Clouds Ishu co Kupigwa nyimbo zake wala Kunyonywa,Anajaribu kuwachanganya watu tuu wamuonee huruma na Band Iliyomuangusha ni SKY LIGHT km Kunyonywa hata yeye Anawanyonya Wanamuziki wake pale Machozi band,
 
Back
Top Bottom