Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
Alikuwa anaigizaHivi unapata wapi ujasiri wa kumsingizia mzazi wako amefariki?
Wasanii wa bongo bhana
Aiseh!Alikuwa anaigiza
Ndo ile ya jana??Mambo ni motoooo,ndo maana muna kafuta grup la michango ya sendoff aiseee mparangano mkali
Ndo ile ya jana??
Hivi unapata wapi ujasiri wa kumsingizia mzazi wako amefariki?
Wasanii wa bongo bhana
Teh!Ndio na muna kama zama nae alikua na grup la kuchangisha watu
Aisee hata kama lakin c kumsingizia mama mzazi amekufa...hiyo ni laanaAlikuwa anaigiza
Nachingwea analima korosho ama[emoji23][emoji23]Kasuntwa weee kaamua kubadili gia angani eti mama yupo hai nachingwea
Sendoff ya nani tena?Mambo ni motoooo,ndo maana muna kafuta grup la michango ya sendoff aiseee mparangano mkali
Mama mzazi wa msanii wa Bongo Movies Muna Love, Ritha Moyo amempeleka Polisi mwanaye huyo kwa makosa ya mtandaoni ya kumkana kuwa amefariki, kumtukana na kumkana mjukuu wake aliyeko Moshi mkoani Kilimanjaro baada ya kudai hana mtoto mwingine zaidi ya marehemu Patrick Peter, jambo ambalo mama huyo amedai si kweli kwani ana mtoto mwingine wa kiume mwenye umri wa miaka 13.
Soma> Siri nzito baada ya kifo cha Patrick..Muna alikuwa na mtoto mwingine - JamiiForums
Yangu macho..popcorn zangu pembeni