Kimenuka: Muna Love afikishwa Polisi na mamake mzazi kwa kumsingizia amefariki, hana mtoto mwingine zaidi ya Patrick

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
882
Reaction score
3,337
Mama mzazi wa msanii wa Bongo Movies Muna Love, Ritha Moyo amempeleka Polisi mwanaye huyo kwa makosa ya mtandaoni ya kumkana kuwa amefariki, kumtukana na kumkana mjukuu wake aliyeko Moshi mkoani Kilimanjaro baada ya kudai hana mtoto mwingine zaidi ya marehemu Patrick Peter, jambo ambalo mama huyo amedai si kweli kwani ana mtoto mwingine wa kiume mwenye umri wa miaka 13.

Soma> Siri nzito baada ya kifo cha Patrick..Muna alikuwa na mtoto mwingine - JamiiForums
 
Yangu macho..popcorn zangu pembeni
 
Mastaa wa kibongo wengi hawajitambui, na ukiangalia any staa aliye karibu na Wema Sepetu LAZIMA anakuwa kishapoteza network kichwani, Wema ambaye ni fundi wa chini ya mwembe ndiye anayewaunganishia nyuzi zirudi kama zamani akiona waya hazikubali na zimeungua kichwani anawaacha solemba na kuwabebesha mikoba yake kama alivyomtesa Aunt Ezekiel kipindi kile huku Aunt akichekelea kubeba mikoba ya Wema pamoja na ujauzito wake kuwa mkubwa kwani alikuwa anabebeshwa pia hata magunia ya mkaa huku akichekelea na kuona sifa.
 
Huyo Mama na mwanae wote ni genge la wahuni.
 
Back
Top Bottom