Midumare Ngatuni Iwato
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 1,653
- 2,045
Huyo mama yake Muna sio kabisa, anaeza kunishitaki na mimi kwa makosa ya kimtandao kama alivyomfanyia mwanae.Tuwekee picha ya Mama yake Muna kama ni mywa mbege na 'cha wote' kama Irene Uwoya tutamjuwa tu baada ya kuona picha yake.
Watu wengine huwa mnapata furaha kwa kuona wengine wameingia matatizoni!!Mambo ni motoooo,ndo maana muna kafuta grup la michango ya sendoff aiseee mparangano mkali
Teh!
Anaolewa na nani sasa?
Hamna kitu hapo anataka asepe na hela huyo Muna,hivi kweli unaweza kuchanga hela bwana/harusi humjui ukizingatia mchangishaji ni mtu wenu wa karibu?!...
Send off yake??Mambo ni motoooo,ndo maana muna kafuta grup la michango ya sendoff aiseee mparangano mkali
Hamna kitu hapo anataka asepe na hela huyo Muna,hivi kweli unaweza kuchanga hela bwana/harusi humjui ukizingatia mchangishaji ni mtu wenu wa karibu?!...
Send off yake??
Oooh. Inawezekana mkuuHamna kitu hapo anataka asepe na hela huyo Muna,hivi kweli unaweza kuchanga hela bwana/harusi humjui ukizingatia mchangishaji ni mtu wenu wa karibu?!...
Asanteee. Nikajua yule mchungaji ndo anaweka ndaniEe angalia post namba 29 utaona mambo ya watsup grup
hiyo avatar yako nimeipendaLete picha
Mtoto si kajifanya nundaMama angetulia tuu amsamehe mwanae basi yaishe
Ikop....alaf hachelewag kuja dmhiyo avatar yako nimeipenda